NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Sio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. 😂 😂 😂