Leo nimejua hakuna watu wanaotamani kukaa Kenya kama wabongo.

Leo nimejua hakuna watu wanaotamani kukaa Kenya kama wabongo.

Dah ila ni maneno makali sana kusema "tutawapiga waondoke hatuogopi mtu" mbunge ni cheo cha juu sana kutoa kauli kama hii.

Sasa ngoja Beijing imalize kuandaa muhtasari kwanza. Mtaipenda show
 
Huyu jaguar asije kurudi tena Tz ikiwezekana idara ya uhamiaji imzuie kukanyaga bongoland.
arudi kufanya nini bongolala ldc wakati anapata hewa safi na mandhari mazuri akiwa Kenya?
wakati mwingine, ni vyema kuuhusisha ubongo wako japo kidogo tu kabla ya kutoa kauli zako.
 
arudi kufanya nini bongolala ldc wakati anapata hewa safi na mandhari mazuri akiwa Kenya?
wakati mwingine, ni vyema kuuhusisha ubongo wako japo kidogo tu kabla ya kutoa kauli zako.
"Wakati mwingine ni vyema kuhusisha ubongo wako japo kidogo"
 
Sio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama Mkenya ananoa machete na kumkata hadi kumuua Mkenya mwenzake kwa maswala ya kisiasa na ukabila watashindwa kumuua Mtanzania aliyewashinda kwenye biashara nchini mwao???
 
Hehehe, Hivi ni kweli kuna mtanzania anatamani kwenda kuishi kenya? Au watu wanatafuta tu hela,
Binafsi sijawai hata kuwaza kwenda kutembea tu Kenya. Kenya is overrated country. Siwezi poteza nauli yangu kwenda uko.
 
Just a clear case of mwizi hapendi kuibiwa for these Tanzanians, manze they argue like fools, let them count their businesses here versus ours there
 
Hivi kenya na tz nani ni wanadhiki sana!?,mi naona kenya tangu tanzanite deal liwe la moto kwao wamekua na chuki na watz kinyama yani hawaibi tena kwa watz
 
Sio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jinga kubwa, Tanzania ni kama USA, thamani ya uhai wa mtanzania ni kubwa kuliko kila kitu. Ile statement ya kutoa 24hrs foreigners waondoke ama wapigwe ulidhan ni ya kunyamazia vile?

Kwa hili serikali ya Tanzania nawa-salute kwa ku-act urgently kabla madhara hayajatokea...and hamna mtu anaependa Kenya, for what exactly, tunatafuta pesa Kenya, tunajenga Taifa teule la Tanzania. That's it..
 
Binafsi sijawai hata kuwaza kwenda kutembea tu Kenya. Kenya is overrated country. Siwezi poteza nauli yangu kwenda uko.

Wengi "wanapoteza" kuja Kenya Nchi ya Asali na Maziwa ni Kama vile Mexico to USA...Njagua amekuwa Trump...yani Make Kenya Great Again.
 
Msikilize mbunge wenu,amefanya research amegundua wabongo wanamiliki biashara kubwa na bora hivyo kuwapa ushindani mkubwa akili ndogo zinazowaza ukabila.imefikia hatua mmemtuma mbunge awatetee
Mbunge kalenga wafanyibiashara wadogo wadogo...hv kuna mtanzania gani mwenye biashara ya maana starehe
 
hakuna kazi za maana wabongo wanazozifanya huku 254 kama sio kuosha choo, kufagia barabara, kuombaomba, kuuza mitumba, kujiuza na hali kadhalika kuuza msosi kwenye vibandaski
According to Duale, watanzania ndio wanalisha mpaka canteen ya bunge la Kenya....lazma nshike chini hapa nyambaf
 
Hakuna biashara kubwa wanazomiliki,,...Nipatie data hapa acha kukurupuka kama kuku mwenye ako na mimba
Mwenye ako na mimba my ass....data kamuulize jaguar na Duale
 
Hata wakenya waliopo Tz pia wanafanya hivyo hivyo
Mfanyakazi wangu wa ndani na gardener ni wakenya na wala sina shida nao... Ni ninyi tu mko waruwaru Kwasabab ya tabia bwatu mlonayo enyi manyang'au
 
Mwenye ako na mimba my ass....data kamuulize jaguar na Duale
Bwahahaaa...hao ndo akina nani kenya ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unaweweseka...

Unafikiria wakenya ni wavivu km nynyi biashara karibia zote na makampuni ni ya waarabu na wahindi
 
Back
Top Bottom