NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Sasa mbona mmeumwa hivi? Mbona Waganda hawalalamiki? 😂 😂Hehehe, Hivi ni kweli kuna mtanzania anatamani kwenda kuishi kenya? Au watu wanatafuta tu hela,
Hauna cha kusema tena.Usijiabishe kupita hapo…..Ptoooh.midanganyika I say.You are so plastic and pretentious .Hehehe, Hivi ni kweli kuna mtanzania anatamani kwenda kuishi kenya? Au watu wanatafuta tu hela,
hakuna kazi za maana wabongo wanazozifanya huku 254 kama sio kuosha choo, kufagia barabara, kuombaomba, kuuza mitumba, kujiuza na hali kadhalika kuuza msosi kwenye vibandaskiWabongo sisi ni watafutaji na huko kenya tunachuma kirahisi maana wakazi wa kenya mbali na kujua kingereza cha kufundishia english medium hakuna wakijuacho.ndio maana tunalalamika
Msikilize mbunge wenu,amefanya research amegundua wabongo wanamiliki biashara kubwa na bora hivyo kuwapa ushindani mkubwa akili ndogo zinazowaza ukabila.imefikia hatua mmemtuma mbunge awateteehakuna kazi za maana wabongo wanazozifanya huku 254 kama sio kuosha choo, kufagia barabara, kuombaomba, kuuza mitumba, kujiuza na hali kadhalika kuuza msosi kwenye vibandaski
Hakuna biashara kubwa wanazomiliki,,...Nipatie data hapa acha kukurupuka kama kuku mwenye ako na mimbaMsikilize mbunge wenu,amefanya research amegundua wabongo wanamiliki biashara kubwa na bora hivyo kuwapa ushindani mkubwa akili ndogo zinazowaza ukabila.imefikia hatua mmemtuma mbunge awatetee
Hata wakenya waliopo Tz pia wanafanya hivyo hivyohakuna kazi za maana wabongo wanazozifanya huku 254 kama sio kuosha choo, kufagia barabara, kuombaomba, kuuza mitumba, kujiuza na hali kadhalika kuuza msosi kwenye vibandaski
Kamuulize mbunge wako ,yeye ndio ana data kamili na ndio maana imemuuma halafu ndugu zako kibao tu wakawa wanashangiliaHakuna biashara kubwa wanazomiliki,,...Nipatie data hapa acha kukurupuka kama kuku mwenye ako na mimba
Huku wanafundisha chekecheaHata wakenya waliopo Tz pia wanafanya hivyo hivyo
Hamuoni aibu tunachuma Mambo yenu .nyie ni wavivu tunakuja huko kuwaonyesha fursaHata nimecheka hadi nikaweka miguu juu.Kuna siku mmoja alisema hapa hakuna mdanganyika atakuja Kenya kujitafutia riski ,kumbe tena wapo wapo tena nusu ya population yao…..Duuh
Ndo mpaka mnalalamika? Hebu Acha utani basi.watz wameshika biashara zenu zote ndo maana mnataka kuwafukuzahakuna kazi za maana wabongo wanazozifanya huku 254 kama sio kuosha choo, kufagia barabara, kuombaomba, kuuza mitumba, kujiuza na hali kadhalika kuuza msosi kwenye vibandaski