Leo nimejua hakuna watu wanaotamani kukaa Kenya kama wabongo.

Bwahahaaa...hao ndo akina nani kenya ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unaweweseka...

Unafikiria wakenya ni wavivu km nynyi biashara karibia zote na makampuni ni ya waarabu na wahindi
Je hao waarabu na wahindi ni kundu ya maako?
 
Bwahahaaa...hao ndo akina nani kenya ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unaweweseka...

Unafikiria wakenya ni wavivu km nynyi biashara karibia zote na makampuni ni ya waarabu na wahindi
...na kama ni wavivu, mnawafukuza ya nini kwenye masoko yenu? Mvivu anachukuaje fursa mpaka mnampa masaa 24?? Safari hii tumewabana mpk mapumbuni si bure
 
...na kama ni wavivu, mnawafukuza ya nini kwenye masoko yenu? Mvivu anachukuaje fursa mpaka mnampa masaa 24?? Safari hii tumewabana mpk mapumbuni si bure
Huna hoja wewe...wawekezaji wa kikenya wakitoka bongo tu uchumi unaporomoka...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dawa ya Wakenya ni Kenya airways kupigwa Pini tu,siku tatu tu wataomba po
 
Wabongo sisi ni watafutaji na huko kenya tunachuma kirahisi maana wakazi wa kenya mbali na kujua kingereza cha kufundishia english medium hakuna wakijuacho.ndio maana tunalalamika
Wakenya sikuizi wameanza kuwaogopa watz Kwa kuchakalika zile kelele zao za kutuita wavivu sikuizi wanapata ukakasi kuzitamka hii imenikumbusha zamani nilikuwa na kaka yangu vijana wakampa jina LA utani kumwonyesha yeye ni chenga akipita wanamtania basi kwenye mtihani wa form 4 yeye akafahulu wao wakafeli ikawa mwisho wa kumtania jina likafa wakawa wanaona aibu wao
 
Mpaka naogopa kutembelea Kenya kwa Kauli ya Kigeugeu.
Angalau nina rangi ya thaoo nitasema natokea Mombasa na vile Swahili iko fasaha vilivyo. UTz nitaacha Namanga 🤣
 
hakuna kazi za maana wabongo wanazozifanya huku 254 kama sio kuosha choo, kufagia barabara, kuombaomba, kuuza mitumba, kujiuza na hali kadhalika kuuza msosi kwenye vibandaski
Kumbe ndiyo hizo kazi mnataka kuwatoa roho watu kisa kuosha choo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kuwabana kila kona
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kuwabana kila kona

Wadanganyika hatuwaogopi. Hawa ni vifagio tu wa vyoo vya Council. show me any one Kenyan anaosha choo saa Sita usiku and I will lock out of this forum forever
 
Hahaha mngekua hamtuogopi msinge weweseka kuwafukuza wafanyabiashara wetu huko, yaani kiufupi Tz ni tishio kwenu najua utatapika hapa ila huu ndio ukweli
Wadanganyika hatuwaogopi. Hawa ni vifagio tu wa vyoo vya Council. show me any one Kenyan anaosha choo saa Sita usiku and I will lock out of this forum forever
 
hakuna kazi za maana wabongo wanazozifanya huku 254 kama sio kuosha choo, kufagia barabara, kuombaomba, kuuza mitumba, kujiuza na hali kadhalika kuuza msosi kwenye vibandaski
House Girl wangu ni Nyang'au na naishi naye vizuri tu, sim-bagui.
 
Wewe ni ngome wa Museveni kabisa.Wadanganyika wanaopika binadamu kama kitoweo nani aishi karibu na wao.I would rather live in Yemen than Danganyika.hakuna neema mko nayo,ni kuumia mnaumia kindani.Pugah
Nyang'au
 
And from then on your economy falls to Haiti's level,Tumeshikilia huo uchumi wenu.We wouldn't feel a thing if you are in here or Not.
Nani kakudanganya we Nyang'au!? Uchumi wa Tz hautawahi kushikwa na nyang'au hata mmoja.
 
arudi kufanya nini bongolala ldc wakati anapata hewa safi na mandhari mazuri akiwa Kenya?
wakati mwingine, ni vyema kuuhusisha ubongo wako japo kidogo tu kabla ya kutoa kauli zako.
Tz ni kama maji huwezi kuyaepuka, atakuja tu na show ataiona.
 
Bwahahaaa...hao ndo akina nani kenya ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unaweweseka...

Unafikiria wakenya ni wavivu km nynyi biashara karibia zote na makampuni ni ya waarabu na wahindi
Hao unaowaona wahindi na waarabu ni watanzania wa kuzaliwa na huko india na uarabuni wanapasikia tu kama unavyopasikia wewe nyang'au.
 
Huna hoja wewe...wawekezaji wa kikenya wakitoka bongo tu uchumi unaporomoka...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe bado mpo tz!!?? Si mlilalamika mmefukuzwa!!?? Manyang'au mna laana ya ubaguzi na itaendelea kuwatafuna, subiri tu uchaguzi ujao mnyooshane!
 
Wadanganyika hatuwaogopi. Hawa ni vifagio tu wa vyoo vya Council. show me any one Kenyan anaosha choo saa Sita usiku and I will lock out of this forum forever
Kwahiyo ndo mnataka kuwapiga sababu ya kuosha choo!!?? Kumbe mnagombania kazi ya kushika mavi!!!???
 
Kumbe bado mpo tz!!?? Si mlilalamika mmefukuzwa!!?? Manyang'au mna laana ya ubaguzi na itaendelea kuwatafuna, subiri tu uchaguzi ujao mnyooshane!
Mnawabania wakenya sana nynyi...duale kaongea kila kitu...wakati jamaa wa east afrika wakija kenya wanaachiwa huru...sasa ngojeni sheria zichongwe fresh ..tunabana...nakwambia machungwa mtauziana wenyewe....manake kutaekwa sheria hyo zaidi ya hyo ya magu..lazima mtalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…