AnthonyGasper
Senior Member
- May 11, 2019
- 178
- 166
Tatz akili zako ndo chenga km jaguarSio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. π π π
Wabongo huko Kenya ni omba omba na wachuuzi reja reja huko barabarani hakuna cha muhimu wanachokifanya.Wacha kujifanya mtu wa maana wewe maskini wa Kurasini na Kijichi.Wabongo sisi ni watafutaji na huko kenya tunachuma kirahisi maana wakazi wa kenya mbali na kujua kingereza cha kufundishia english medium hakuna wakijuacho.ndio maana tunalalamika
Na njoo yote hiyo kuna mtu anaweza kutamani kenya?Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya.
Labda ukoπ€π€ au Rwanda, Burundi hata kwa Museveni sio mbaya.Nenda south africa kw wazungu
Sadc yenyewe inatoa order ya msosi tz afu uje we boya ututishe hahahaMnawabania wakenya sana nynyi...duale kaongea kila kitu...wakati jamaa wa east afrika wakija kenya wanaachiwa huru...sasa ngojeni sheria zichongwe fresh ..tunabana...nakwambia machungwa mtauziana wenyewe....manake kutaekwa sheria hyo zaidi ya hyo ya magu..lazima mtalia tu
Ngoja ile siku wachuuzi,omba omba na wale dada zenu malaya warudishwe makwao...halafu wanaoleta mazao wapigwe sheria km zile zile mnazotupiga sisi...wafanyibiashara wakubwa pia hvo hvo...ndio utajua faida ya kutobaniana mipakaniSadc yenyewe inatoa order ya msosi tz afu uje we boya ututishe hahaha
Money talks...tutanunua mahindi popote pale dunianiSadc yenyewe inatoa order ya msosi tz afu uje we boya ututishe hahaha
Akili yako ina matatzo, mtanzania gani anapenda kuishi kesh?Sio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunawalia taiming ili nasi tuwafukuze huku mmejaa kibao mahotelini na sijui ile Unilever tunaifunga.
Wewe ni mzigo tu watanzania wangekuwa wapika chapat Kenya huyo bwege wenu angelialiaUnless kiwango chako cha shule ni chekechea
Kwhyo kuuana na kunyofoana minofu ni nn?Akili yako ina matatzo, mtanzania gani anapenda kuishi kesh?
Mumejaa ubaguzi ubinafsi roho mbaya mnabaguana wenyewe Kwa wenyewe. Kuwa serious jombaa
Nakumbuka sana...kumbe wamejaa mpka malayaHata nimecheka hadi nikaweka miguu juu.Kuna siku mmoja alisema hapa hakuna mdanganyika atakuja Kenya kujitafutia riski ,kumbe tena wapo wapo tena nusu ya population yaoβ¦..Duuh
Ulishaona Tanzania tunauana kama ninyi?Kwhyo kuuana na kunyofoana minofu ni nn?
Sijaona..labda tuwaulize albino na chademaUlishaona Tanzania tunauana kama ninyi?
Ulishaona mmasai ana mbagua msukuma?
Au ulishaona mchaga ana muua mpogoro?
Wabongo huko Kenya ni omba omba na wachuuzi reja reja huko barabarani hakuna cha muhimu wanachokifanya.Wacha kujifanya mtu wa maana wewe maskini wa Kurasini na Kijichi.
Hao albino ndo wimbo mnaojua ju hakuna kingine embu niambie mara ya mwisho kusikia hivo visa ni lini, ukabila wenu ubaki huko hukoSijaona..labda tuwaulize albino na chadema
hakuna kazi za maana wabongo wanazozifanya huku 254 kama sio kuosha choo, kufagia barabara, kuombaomba, kuuza mitumba, kujiuza na hali kadhalika kuuza msosi kwenye vibandaski
Asa kama ni kazi za ovyo mbon mnalalamika wageni wanawachukulia kazi zenu kwaio kumbe nyie mnataka mjiuze miili yenu na kuosha vyoo wakenya bhn[emoji3][emoji3][emoji3]
Si wanaitaga watanzania ni wavivu [emoji23][emoji23][emoji23] tena wanatembea dunia nzima wakiimba waTz ni wavivu mbona leo wanataka kuwafukuza, alafu vyakula vyote wanavyokula vinatoka Tz hadi matunda enyewe ukabila sio mzuri
Awajielew awa wanachojua kubaguana na kuuwana wasichokoz moto 255 utawaunguz wenyew labla tutapat hasara kwamba watoto wetu wa chekechea watakosa walimu wakuwafundish A for Apple