Money talks...tutanunua mahindi popote pale duniani
Naona unajifurahisha...na wakati walimu wa ki tanzania wanawaendea mbio ugangani kisa mtu kapewa gari la kutembelea na nyumba ya kuishi...msifikirie hatuyajui..Awajielew awa wanachojua kubaguana na kuuwana wasichokoz moto 255 utawaunguz wenyew labla tutapat hasara kwamba watoto wetu wa chekechea watakosa walimu wakuwafundish A for Apple
Naona unajifurahisha...na wakati walimu wa ki tanzania wanawarnda mbio ugangani kisa mtu kapewa gari la kutembelea na nyumba ya kuishi...msifikirie hatuyajui..
Kwanza chuo za english medium mnawapigania walimu mashuhuri toka kenya..wanatunishiana kuwa nani atotoa donge nono...
Bwahahaaa...kukosea katika uandishi ni kawaida...shule za english medium...wala sio chuo...Ww unajielew kwel unaongea kitu kisichokuwepo iko chuo cha English medium ni kipi na chuo cha Swahili medium ni kipi
Wadanganyika hatuwaogopi. Hawa ni vifagio tu wa vyoo vya Council. show me any one Kenyan anaosha choo saa Sita usiku and I will lock out of this forum forever
tatizo mnatuwaza sana watz af si hatuwawazi ndo mana tunatak tujue km kwel mnamaanisha ...af nyie km kidole tumbo kwetu hamnaga maanaSio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. π π π
Kitu kidogo kama mbunge kuropokwa Kenya kinapata newspaper headline bongo na kujadiliwa bungeni halafu useme hamtuwazi? Mbona Waganda wamenyamaza na waliguzwa pia? Kama kuna mtu anayewaza Kenya hapa ulimwenguni ni Mtanzania.tatizo mnatuwaza sana watz af si hatuwawazi ndo mana tunatak tujue km kwel mnamaanisha ...af nyie km kidole tumbo kwetu hamnaga maana
ao wengine waliokaa kimya ndo wanawagwaya si uwaga atumbakishag mtu.....af tnajar ndugu zetu ndo mana tunawaelekza...af ata angesema mwenyekit wa mtaa lzm tunge dill na nyie coz hoa watz ni ndg zetu na hatupo tayar kuona llt by zidi yaooo....msituwaze aseeKitu kidogo kama mbunge kuropokwa Kenya kinapata newspaper headline bongo na kujadiliwa bungeni halafu useme hamtuwazi? Mbona Waganda wamenyamaza na waliguzwa pia? Kama kuna mtu anayewaza Kenya hapa ulimwenguni ni Mtanzania.
ni nyinyi ndio mmemfunga lockup kwenu,nani amewaagiza??[emoji23][emoji23][emoji23]!Kitu kidogo kama mbunge kuropokwa Kenya kinapata newspaper headline bongo na kujadiliwa bungeni halafu useme hamtuwazi? Mbona Waganda wamenyamaza na waliguzwa pia? Kama kuna mtu anayewaza Kenya hapa ulimwenguni ni Mtanzania.
Kiswahili kimekushinda ongea lugha ya mabeberu wwHata nimecheka hadi nikaweka miguu juu.Kuna siku mmoja alisema hapa hakuna mdanganyika atakuja Kenya kujitafutia riski ,kumbe tena wapo wapo tena nusu ya population yaoβ¦..Duuh
Mbunge wenu alisema mtawapiga, so kama nchi lazima ilinde na ihakikishe usalama wa raia wake popote walipo.Sio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnawabania wakenya sana nynyi...duale kaongea kila kitu...wakati jamaa wa east afrika wakija kenya wanaachiwa huru...sasa ngojeni sheria zichongwe fresh ..tunabana...nakwambia machungwa mtauziana wenyewe....manake kutaekwa sheria hyo zaidi ya hyo ya magu..lazima mtalia tu
Sio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatujamkamata kwa sababu ya Tz. Ni kwa sababu we are a civilized society that doesn't condone hate speech unlike you people.Nchi zingine wamenyamaza ila wa-Tz kwenye mitandao ya jamii wamereact hadi viongozi wakubwa wa kenya wame-apologise ,hata haijafika kwenye bunge la Tanzania kenya maafisa usalama washamkamata Jaguar,response tu ya wananchi wa Tanzania ,nchi nyingine hata hawajafuatilia hiyo statement ,ila Kenya kujipendekeza kwa Tz ni noma,tutawakimbiza sana
Ebu wawekee hiyo clip ya Duale.
Hahahaha MmmhHii hapa...nlikuwa nawatch game tukiwafanyizia wake zetu bwana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...sai bado kutia shower wanaume tulale kw raha zetu...
Iyeeeeeeaaa!!Hii hapa...nlikuwa nawatch game tukiwafanyizia wake zetu bwana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...sai bado kutia shower wanaume tulale kw raha zetu...