Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Kazi kazi,mkuu vijana wanapiga kazi...yaani wanakera sana kwa kweli!
Kweli uliwakomesha too much, ubungo, Rangi 3 wanasumbua sana..*Nimefika uBungo stand ya mabasi wapiga debe wanasumbua sana wananiulza naenda wapi nkajibu ZANZIBAR.*
*.nmewaacha nawaskia wanataja sehem za siri za binadamu itakua wanakumbushana biology* ..[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
washamba sana wale wanaume wa dar hawataki kufanya kazi.ndo maana huwa nasafiri na luxury tupu siendi ubungoHawa jamaa wanakera...... Mimi nikitoka nyumbani najua ninakokwenda, kwanini wananiuliza kuwa naenda wapi.... Kwani safari yangu inawahusu nini??
Kwa mliowahi kutembea nchi za wenzetu je! Hawa watu wapo?