Leo Nimekomesha Wapigadebe

Leo Nimekomesha Wapigadebe

washamba sana wale wanaume wa dar hawataki kufanya kazi.ndo maana huwa nasafiri na luxury tupu siendi ubungo


Wale ndio wanaofanya bei za Usafiri kupanda maradufu...........


Swala la msingi ni kuingia kukata tiketi kwenye ofisi zao.
 
*Nimefika uBungo stand ya mabasi wapiga debe wanasumbua sana wananiulza naenda wapi nkajibu ZANZIBAR.*


*.nmewaacha nawaskia wanataja sehem za siri za binadamu itakua wanakumbushana biology* ..[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
Hahaaahaa...
Nilishawahi kuwajibu hivyo kweli kabisa, aisee walinizingira wengi wakaanza kunitajia majina ya magari ya kwenda zenji eti, mara kifyro express, mtombo trans, kamkyndu airline, kaliambyo luxury n.k yaani nikikumbuka asee mhh!
 
Back
Top Bottom