Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
🤣🤣🤣 uongoounavyomlinganisha Noah na mihogo
Mkuu ulikua na njaaWadau hamjamboni nyote
Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli!
Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo ya kukaanga ambayo ni mitamu na laini sana utadhani ni keki
Nimpongeze sana huyu mama mpishi aliyebadilisha mawazo yangu kabisa
Kumbe mihogo yaweza kuwa mitamu kuliko hata nyama ya kitimoto
Tuache dharau mihogo