Leo nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

Leo nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

Mihogo ni mizuri ukikutana nayo yenyewe ila hapo kwenye kitimoto ipe heshima yake
 
Hiyo ni Mong'onyo....alafu kuna ile inatoa Unga sijui ndio wanaita mfaransa
 
Back
Top Bottom