Leo nimekumbuka Ahmed Ally akiwa mtangazaji pale radio Free Afrika

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,553
Reaction score
5,680
Kwa wakati ule nilikua sihifahamu hata sura yake .

Jamaa kwa uwezo wake sidhani kama alistahili kuingia katika siasa za simba na yanga nilitamani kumuona Ikulu .
Alinifanya nipende kusikiliza habari za magazeti na michezo asubuhi bila kumsahaua Ivona kamuntu pamoja na ben Mwanantala.
 
Hata ww hustaili kuwa hapo ila ndo ivyo huna connection
 
Taarifa ya habari,tuongee asubuhi na kusoma magazeti asubuhi na vipindi vingi amaetoka radio free kaenda azam azam walibeba watu wengi toka radio free.
Ahmed ally
Ivona kamuntu
Raymond nyamwihula
Baruani muhuza
Ooh kumbe.!! Ahsante sana, sikufahamu yote haya.
 
Maslahi anayopata akiwa simba ni mazuri zaidi.alikuwa akiishi tabata sasa amehamia masaki
RFA hawalipi
 
Ni mwanahabari mzuri
Ila ukiwa simba na Yanga, lazima unyofoe akili zako kidogo kwenda na mchezo.
 
Yaah jamaa ni mwanahabari mzuri sana, hata huko Simba nakubali sana uhamasishaji wake na uongeaje wake wenye staha na kupangilia maneno sio kama dogo lopolopo wa Uto, kila siku anakula ban.

Cc Jadda
 
Taarifa ya habari,tuongee asubuhi na kusoma magazeti asubuhi na vipindi vingi amaetoka radio free kaenda azam azam walibeba watu wengi toka radio free.
Ahmed ally
Ivona kamuntu
Raymond nyamwihula
Baruani muhuza
Sikulijua hili
 
Kwa wakati ule nilikua sihifahamu hata sura yake .

Jamaa kwa uwezo wake sidhani kama alistahili kuingia katika siasa za simba na yanga nilitamani kumuona Ikulu .
Alinifanya nipende kusikiliza habari za magazeti na michezo asubuhi bila kumsahaua Ivona kamuntu pamoja na ben Mwanantala.
Itakuwa unamzungumzia Ahmed Salumu nadhani.
Walikuwa kwenye idara ya michezo na DK, Alex Ngusa.
 
Back
Top Bottom