Hata ww hustaili kuwa hapo ila ndo ivyo huna connectionKwa wakati ule nilikua sihifahamu hata sura yake .
Jamaa kwa uwezo wake sidhani kama alistahili kuingia katika siasa za simba na yanga nilitamani kumuona Ikulu .
Alinifanya nipende kusikiliza habari za magazeti na michezo asubuhi bila kumsahaua Ivona kamuntu pamoja na ben Mwanantala.
Ivona Kamuntu amewahi tangaza radio free? kipindi gani?Ni kweli kaka sina connection
Taarifa ya habari,tuongee asubuhi na kusoma magazeti asubuhi na vipindi vingi amaetoka radio free kaenda azam azam walibeba watu wengi toka radio free.Ivona Kamuntu amewahi tangaza radio free? kipindi gani?
Ooh kumbe.!! Ahsante sana, sikufahamu yote haya.Taarifa ya habari,tuongee asubuhi na kusoma magazeti asubuhi na vipindi vingi amaetoka radio free kaenda azam azam walibeba watu wengi toka radio free.
Ahmed ally
Ivona kamuntu
Raymond nyamwihula
Baruani muhuza
Sikulijua hiliTaarifa ya habari,tuongee asubuhi na kusoma magazeti asubuhi na vipindi vingi amaetoka radio free kaenda azam azam walibeba watu wengi toka radio free.
Ahmed ally
Ivona kamuntu
Raymond nyamwihula
Baruani muhuza
Itakuwa unamzungumzia Ahmed Salumu nadhani.Kwa wakati ule nilikua sihifahamu hata sura yake .