Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Ujipate kiasi gani mkuu??

maana unaweza ukawa umemuacha gap flan kiuchumi ila kesho, keshokutwa akapata pande la kumuingizia mara 5 ya unachoingiza.

maisha ni dynamic mkuu.
Kujipata huanzia kwenye akili yako na akili yako ndio hufanya yale unayoyawaza yaonekane kwenye macho ya watu
 
Kabisa, Nature ndivyo ilivyo.

Kuna mwamba yuko Kilimo, yeye alimkopea wife wake kama 40M. najua jamaa ni member hapa.

Sasa wife ana kismat cha biashara, 40M ikawa na faida sana!! (biashara ilitick) ndani ya miaka 3 tu mke wa jamaa akaanza kuleta mapicha picha, akawa anatuambia jamaa akiendelea kumsumbua atamrudishia mtaji wake kwani uwezo huo anao.

Kisa ni mshikaji kuanza kumkatalia mke kwenda kufuata mizigo huko far East.
Pesa ina kiburi.

Mungu saidia alimpa mke wa jamaa wazazi wenye akili na busara sana.
They played it very wise.
 
Haya ndio mambo ambayo watoto wakiume wanapazwa kufundishwa wakishafika umri wakutoa wadhungu. Kuwa fanya yoteee hii dunia ila never ever trust a woman. Waheshimu kama mama na dada zako lakini kama mpenzi au mke wee mchukulie kama kipozeo cha nyege zako tuu
 
Bi.tches ehhh!
 
So ikawaje
 
Huyo alieacha kazi anahitaji msaada wa kisaikolojia, ndufu zake ni nyie msimuache , ni dalili za deprission anaweza jidhuru.

On the contrary ladies huwa wanashangaa kwann some guys wanakuwa wakatili na wanawake, well sababu ndio hii most of mans become cold after hayo matukio, some wanarudi normal but it takes time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…