Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
wacha msemaji wako anihakikishie kwanzaKaribu sana PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha msemaji wako anihakikishie kwanzaKaribu sana PM
Kujipata huanzia kwenye akili yako na akili yako ndio hufanya yale unayoyawaza yaonekane kwenye macho ya watuUjipate kiasi gani mkuu??
maana unaweza ukawa umemuacha gap flan kiuchumi ila kesho, keshokutwa akapata pande la kumuingizia mara 5 ya unachoingiza.
maisha ni dynamic mkuu.
Hii ni self golden chance 😑siyumbi mkuu😂😂nije PM nkutongoze sio,,,thubutuuuu🤣🤣
Campaign Manager Ivan Stepanov muhakikishie huyu mgombea mwenzawacha msemaji wako anihakikishie kwanza
Mambo mazuri hayataki haraka, tulia kwanzaTafadhal nambie ili nimfate PM chap😂
Kabisa, Nature ndivyo ilivyo.Dah kuna ujinga mwingi kwa hawa wanawake yaani...mimi manzi yangu alipata kazi nzuri baada ya miaka 3 mapicha yakawa mengi dah nikajiondoa taratibu mpaka siku ananitamkia tuachane tayari nilishamuacha miaka 3 nyuma japo bado ilinichoma.
Mwisho tukubali tu lazima uwe na kipato kuliko mkeo vinginevyo utateseka sana.
Kwakwel guarantee ni zaidi ya efficiency of any working machine on earth. Yan over 100%Campaign Manager Ivan Stepanov muhakikishie huyu mgombea mwenza
Hili lilikuwa kosa la kiufundi, akikuzidi tu heshima inaanza kupotea.sikuwahi kuona hela yake ingawa alikuwa analipwa mara 4 ya mshahara wangu
Yes!! Kila mtu ana starehe yake,sio kila mtu anaihusudu Pombe na ngono!!Bata bila mademu?
Hivi kumbe wewe ni ke?Sisi ndio wake zenu dada zenu na mama zenu
Hamuwezi kutuchukia sisi ni maua mazuri ya kupendeza😅
Poleni sana wakuu .
Nitakuwepo ibadani kushuhudia haya mambo mazuri.Kanisa lipo karibu na Sinza Makaburini.
Haya ndio mambo ambayo watoto wakiume wanapazwa kufundishwa wakishafika umri wakutoa wadhungu. Kuwa fanya yoteee hii dunia ila never ever trust a woman. Waheshimu kama mama na dada zako lakini kama mpenzi au mke wee mchukulie kama kipozeo cha nyege zako tuuMiaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha sasa kipindi chote hicho alikuwa anafanya shughuli ndogondogo tu.
Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.
Picha linaanza kwanza amepangiwa mkoani akili ikacheza mmh nikiwa nipo kwenye dilema ya maamuzi kwao wakawa wapo karibu nae zaidi na wakamwambia aende huko kwa kuwa watoto bado wadogo waende kwa bibi yao yaani mama yake hadi mambo yatakapokuwa sawa kule then awachukue.
Basi mwezi ukaisha mwezi wa pili mara miezi sita nikaanza kuona mapicha picha kwanza sikuwahi kuona hela yake ingawa alikuwa analipwa mara 4 ya mshahara wangu bado nilitakiwa kutuma pesa ya matumizi kwangu hakuwa shida maana naelewa mwanaume ndio mtunza familia kifedha.
Alifanikiwa kurudi kipindi cha mwanzo mwanzo tu tena akaniletea nyodo hatari stori zake sasa ooh mwaka huu nanunua gari sijui wewe umeshindwa hiki na kile nikitaka tunda anajivutaa nikajisemea hii ngoma ndio imeshavuja hapa...kwakweli haikufika hata mwaka tukabwagana.
Hakuna kipindi nilikonda kama kipindi kile full mawazo alafu ndugu zake wananichora tu kenge wale!
ilibaki kidogo nidondoke nifeee!
Kuna mama mmoja mtu wa makamo akanifuata na kuniweka chini kisha akanipa ushauri mmoja wa nguvu sana akaniambia kijana wangu usiwe mnyonge hivyo tafuta mwanamke mdogo na mzuri kuliko mkeo then furahia maisha haya maisha ni mafupi sana na utamsahau.
Kwa kweli namshukuru sana yule mama maana from there maisha yalibadilika taratibu nilianza kumsahau yule mwanamke na mambo yake ingawa bado muda mwingine naumia ila ndio maisha isee
tuishi nao kwa akili!
Kwanini nimeleta huu uzi..?
Nataka vijana wenzangu hasa hawa wadogo ambao wanajianda kuingia kwenye maisha ya familia wawe makini na kujitaidi wajipende na wao wasijitoe sana kwa ajili ya familia zao things change na maumivu utayopitia sio ya kawaida mm nilikuwa najiona mgumu nilikuwa nashangaa wanaume wanaolalamikia wake zao ila yalivyonikuta nilijishangaa najikaza ila uso na mwili vilijionyesha kuwa nipo kwenye maumivu jamani maumivu ya mahusiano hayaelezeki tena kwa sisi ambao tulishakuwa na familia utashangaa chakula hakipiti wala maji hayashuki..kuna bond inayojitengeneza ukishazoea kuwaona watu wako wa karibu kila siku kuitoa hiyo ni ngumu sana yaani kuna muda nilikuwa nikikaa hivi fikra za watoto wangu wapo mbali muda niliopoteza kuwa na mwanamke yule nilikuwa nafamilia ghafla naishi mwenyewe machozi yanatoka yenyewe tu....
Nashukuru sana gospel music inafariji sana.
Bi.tches ehhh!Wanaume tunapitia mengi.
Hongera kwa kumsahau.
Mshikaji wangu yeye alilishwa sumu na mke wake.
Ilibaki kidogo tumpoteze mwamba. Engineer kabisa.
Washukuriwe madokta wa pale Aghakan.
Waliokoa maisha ya mshikaji last minute kabisa.
Leo nimemwona jamaa nikakumbuka aliwahi kuchungulia kifo live live
Yes!! Kila mtu ana starehe yake,sio kila mtu anaihusudu Pombe na ngono!!
Fanya unachokipenda kumbuka kutokumkosea Muumba wako!!!!
Kama sijaelewa hiv?Yes!! Kila mtu ana starehe yake,sio kila mtu anaihusudu Pombe na ngono!!
Fanya unachokipenda kumbuka kutokumkosea Muumba wako!!!!
So ikawajeKabisa, Nature ndivyo ilivyo.
Kuna mwamba yuko Kilimo, yeye alimkopea wife wake kama 40M. najua jamaa ni member hapa.
Sasa wife ana kismat cha biashara, 40M ikawa na faida sana!! (biashara ilitick) ndani ya miaka 3 tu mke wa jamaa akaanza kuleta mapicha picha, akawa anatuambia jamaa akiendelea kumsumbua atamrudishia mtaji wake kwani uwezo huo anao.
Kisa ni mshikaji kuanza kumkatalia mke kwenda kufuata mizigo huko far East.
Pesa ina kiburi.
Mungu saidia alimpa mke wa jamaa wazazi wenye akili na busara sana.
They played it very wise.
Huyo alieacha kazi anahitaji msaada wa kisaikolojia, ndufu zake ni nyie msimuache , ni dalili za deprission anaweza jidhuru.Ndio maana kaka yangu mdogo na 40+ yake hataki kuoa,mwanamke aliyetaka amuoe kamgharamia nusu ya gharama za chuo lakini alipopata kazi kamkimbia. Sasa ana mtoto kazaa na mwanamke mwingine anamlea yeye mwenyewe,alipitia katika hali ngumu sana ila kwa sasa ana ajira yake kwenye shirika moja la umma,amejenga nyumba ila suala la ndoa hataki kusikia kabisa.
Na nina kaka mwingine tumezaliwa mama tofauti,yeye kaoa mwanamke akaamua kumsomesha,akaajiriwa serikalini lakini baadae mwanamke akaamua kumkimbia akakimbilia Dar alipata Injinia wa Ujenzi(wale jamaa wa vimacho vidogo akina Chang Chung),sasa jamaa mkataba ukawa umeisha akarudi kwao,mwanamke akaona hapa sirudi mkoani,akapata Injina mbongo ambaye yupo nae hadi sasa na amemzalisha mtoto,na kwa kiburi akarudi mkoani kusalimia akaenda kumsalimia Bro na kumuonesha mwanae aliyempata Dar. Kazi kaacha,akiitwa halmashauri aje atoe maelezo kwa nini haonekani kazini anakataa kwenda..Akina Delila hawa sijui wanataka nini?