Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π³π³π³ivi upo serious weweMs R, navumilia aisee na ninaenda na haya Maneno ya Mwanazuoni maarufu duniani πππππ
Uvumilivu ni mzuri. Matokeo ya kusubiri ni mazuri. Ikiwa Mwenyezi anakufanya ungojee, uwe tayari kwa jambo lililo zaidi ya matarajio yako. Anajua sio rahisi kwako kwa hivyo anahakikisha kuwa inafaa kungojea kwako.
#DontLetMeFall
Unadhani natania?π³π³π³ivi upo serious wewe
Pm yake iko waz chief..acha kutumia nguvu nyingiUnadhani natania?
Serious ukweli, moyo unakomaa japo sikufahamu
π π πPm yake iko waz chief..acha kutumia nguvu nyingi
msitongozane hapa, mnanichefua kwa kweli.Unadhani natania?
Serious ukweli, moyo unakomaa japo sikufahamu
Ndio zama fasta sasa kabla kufuli halijarudishiwaπ π π
Mbona jana ilikuwa imefungwa?
Haamini kwamba anaweza akanipa ubavu wangu tena
Acha gere basi Mkuu π π πmsitongozane hapa, mnanichefua kwa kweli.
Kumbe kwel unanfatilia πππππ π π
Mbona jana ilikuwa imefungwa?
Haamini kwamba anaweza akanipa ubavu wangu tena
Mkuu hili jambo juu ya hawa wanawake zetu linafikirisha sana.Wanawake wengi wapo na wanaume wasiowapenda ili tu wapate huduma, siku wakijipata wanaenda kutafuta type zao. Pole sana mkuu Kwa kutumika, kuchezewa na kuachwaw
πππππ Aloooh msemaji uko vizuriNdio zama fasta sasa kabla kufuli halijarudishiwa
ππππππππππΎππΎππΎππΎPm yake iko waz chief..acha kutumia nguvu nyingi
Kwanini Hope.....most of you mnakuwa hivyo pale tu mnapoanza kumiliki kipato zaidi ya waume zenu?Sisi ndio wake zenu dada zenu na mama zenu
Hamuwezi kutuchukia sisi ni maua mazuri ya kupendezaπ
Poleni sana wakuu .
, msijumlishe wanawake woote , ni kama hivi baadhi ya wanaume wanatoka na wake zao wakiwa hawana kitu kabisa akija zipata ubabani huko anatafuta binti wa kula naye maisha . .Kwanini Hope.....most of you mnakuwa hivyo pale tu mnapoanza kumiliki kipato zaidi ya waume zenu?
Tatizo hachangamki sasa ndio shida...yan ile mnafika stend basi linaondoka, msindizaji unawah kupanda huku msafiri yuko chin anashangaa shangaaπππππ Aloooh msemaji uko vizuri
We kila uzi unamuimbisha tu, hata kama alikuwa na dalili walau ya kukupa namba sahau, kiufupi kutongoza hujui unatuchosha tu tunaofatilia madaAcha gere basi Mkuu π π π
Siandiki tena chochote aisee
Pole na samahani kwa kuchefukwa
Mwanamke anaweza kukuzidi elimu,kipato,umri....lkn usiruhusu akuzidi akili,kwa maelezo yako mkeo alikuzidi akili.Miaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha sasa kipindi chote hicho alikuwa anafanya shughuli ndogondogo tu.
Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.
Picha linaanza kwanza amepangiwa mkoani akili ikacheza mmh nikiwa nipo kwenye dilema ya maamuzi kwao wakawa wapo karibu nae zaidi na wakamwambia aende huko kwa kuwa watoto bado wadogo waende kwa bibi yao yaani mama yake hadi mambo yatakapokuwa sawa kule then awachukue.
Basi mwezi ukaisha mwezi wa pili mara miezi sita nikaanza kuona mapicha picha kwanza sikuwahi kuona hela yake ingawa alikuwa analipwa mara 4 ya mshahara wangu bado nilitakiwa kutuma pesa ya matumizi kwangu hakuwa shida maana naelewa mwanaume ndio mtunza familia kifedha.
Alifanikiwa kurudi kipindi cha mwanzo mwanzo tu tena akaniletea nyodo hatari stori zake sasa ooh mwaka huu nanunua gari sijui wewe umeshindwa hiki na kile nikitaka tunda anajivutaa nikajisemea hii ngoma ndio imeshavuja hapa...kwakweli haikufika hata mwaka tukabwagana.
Hakuna kipindi nilikonda kama kipindi kile full mawazo alafu ndugu zake wananichora tu kenge wale!
ilibaki kidogo nidondoke nifeee!
Kuna mama mmoja mtu wa makamo akanifuata na kuniweka chini kisha akanipa ushauri mmoja wa nguvu sana akaniambia kijana wangu usiwe mnyonge hivyo tafuta mwanamke mdogo na mzuri kuliko mkeo then furahia maisha haya maisha ni mafupi sana na utamsahau.
Kwa kweli namshukuru sana yule mama maana from there maisha yalibadilika taratibu nilianza kumsahau yule mwanamke na mambo yake ingawa bado muda mwingine naumia ila ndio maisha isee
tuishi nao kwa akili!
Kwanini nimeleta huu uzi..?
Nataka vijana wenzangu hasa hawa wadogo ambao wanajianda kuingia kwenye maisha ya familia wawe makini na kujitaidi wajipende na wao wasijitoe sana kwa ajili ya familia zao things change na maumivu utayopitia sio ya kawaida mm nilikuwa najiona mgumu nilikuwa nashangaa wanaume wanaolalamikia wake zao ila yalivyonikuta nilijishangaa najikaza ila uso na mwili vilijionyesha kuwa nipo kwenye maumivu jamani maumivu ya mahusiano hayaelezeki tena kwa sisi ambao tulishakuwa na familia utashangaa chakula hakipiti wala maji hayashuki..kuna bond inayojitengeneza ukishazoea kuwaona watu wako wa karibu kila siku kuitoa hiyo ni ngumu sana yaani kuna muda nilikuwa nikikaa hivi fikra za watoto wangu wapo mbali muda niliopoteza kuwa na mwanamke yule nilikuwa nafamilia ghafla naishi mwenyewe machozi yanatoka yenyewe tu....
Nashukuru sana gospel music inafariji sana.
πππππππ Nmecheka,,,ila umeniwahi aseeeTatizo hachangamki sasa ndio shida...yan ile mnafika stend basi linaondoka, msindizaji unawah kupanda huku msafiri yuko chin anashangaa shangaa
Tunasocialise tu Best friend uko poa?We kila uzi unamuimbisha tu, hata kama alikuwa na dalili walau ya kukupa namba sahau, kiufupi kutongoza hujui unatuchosha tu tunaofatilia mada