Wewe unamuona hata kuongozana na mkewe? Ni kama Rais hana mume maana jamaa kawekwa kando huko.Mume wa Mama Samia sijui hili jambo yeye analionaje!
Namaanisha kila mtu ni wakipekee linapokuja suala la kujipa furaha mwenyewe!!Kama sijaelewa hiv?
Ni kweli ni maua ila mengine yanabadilika yanakuwa na miiba.Hamuwezi kutuchukia sisi ni maua mazuri ya kupendezaπ
Sjaelewa hapo mwishoni wazazi wa jamaa walifanyaje?huu mjadala naufuatilia mguu kwa mguuKabisa, Nature ndivyo ilivyo.
Kuna mwamba yuko Kilimo, yeye alimkopea wife wake kama 40M. najua jamaa ni member hapa.
Sasa wife ana kismat cha biashara, 40M ikawa na faida sana!! (biashara ilitick) ndani ya miaka 3 tu mke wa jamaa akaanza kuleta mapicha picha, akawa anatuambia jamaa akiendelea kumsumbua atamrudishia mtaji wake kwani uwezo huo anao.
Kisa ni mshikaji kuanza kumkatalia mke kwenda kufuata mizigo huko far East.
Pesa ina kiburi.
Mungu saidia alimpa mke wa jamaa wazazi wenye akili na busara sana.
They played it very wise.
Nyie kama mnaongea Ipo siku tu mtabanduana tena kupasha kiporo.wapi yupo tu huwa anapiga simu eti amenimic namwitikia tu alafu nampotezea kabisa!
Aliondoka bila ugomvi na ni ndoa ya kikiristo.Wenzako tulioa ndoa halari, mke akaondoka na vitu vyote vya ndani kwenda kusikojulikana mtoto kapeleka kwa mama yake, ndoa haijavunjwa kwa talaka, hapa nawaza sijui nifanye nini ila najijua ipo siku nitaamka na la kufanya kwa sasa ni kama akili imesimama nimezubaa ila sio la kusamehe mtu wala kumrudisha.
Duh huyo jamaa akili aipo hapo .Nimepata taarifa kuna mtu mtaani kwetu huko kaachwa na mwanamke wake .kamfuata hadi nyumbani kwao kwenda kumpiga na bado anamtafuta na kisu amchome. Kuna watu wakiachsa akili zao hazifanyi kazi kabisa wao wanaona Bora kufa kuliko kuachwa.
Aah hv nitaoaga kweli mm !? Why in this world such things happen hebu mniache tu bana.Experience yangu hata umfanyie wema gani atakuacha tu..
Arusha 2014 jirani yangu alikuwa anafanya kazi taasisi fulani, financially alikuwa yuko poa sana. Kulikuwa kuna binti alikuwa anakuja kwake mostly on weekends... Siku ndo akani tambulisha hii ni pisi yake ila inasoma mkoa x chuo kikuu mwaka wa pili... Miaka ikaenda ile pisi ikawa haionekani kumbe ilikuwa chuo.
Mambo yakaenda vibaya kwa yule dada alifeli chuo so hakuweza kumaliza chuo. familia ikamtema mazima kwamba atajua na maisha yake. Familia ilienda mbali na kumuambia pesa walizo nazo niza kusomesha wadogo wa yule binti. So binti akamshirikisha boyfriend wake ambaye ni jirani yangu. Jamaa akamuambia aje tu maana hata kwenda nyumbani aliogopa.
Basi jamaa kwa kujua one day in this life atakuwa mke wake, akalibeba lile jambo na kuamua kumpeleka chuo kikuu kimoja kiko Arusha, alim somesha, chakula, mavazi yaani kwa kifupi alikuwa mzazi na boyfriend at once. akawa anaenda chuo for all the three years tumekaa nae pale, ila this time alitoboa graduation kila kitu fresh. Walikuwa poa sana kiukweli, ilikuwa ni couple moja strong sana ile unajua demu aki graduate wanafunga ndoa.
Demu aliendelea kukaa pale hadi akapata nafasi katika kampuni flani hivi alianza kwa kujitolea baadae akapata ajira ya kudumu, ila kupatikana hii kazi ni kwa juhudi za huyu mwamba. sijui salary yake but alikuwa ana safiri sana. Matatizo ndo yakaanza kule ndani. Demu alikuja kubadilika ndugu zangu siyo poa, kama mara tatu wameshikiana visu mule ndani, alikuja kumuacha mwamba kama hamjui and familia ikamuambia arudi nyumbani huyo jamaa siyo mume wake.
Jamaa alifanya attempt kama mbili za kutaka kujiua, alikuja kuwa mtu wa pombe sana, sigara nyingi sana (wakati hakuwa mnywaji kivile, wala mvutaji wa sigara) alikuja kukonda, kwenda job late, ananukia na pombe, kwa kifupi aliyumba sana ile kampuni ilijaribu kumbeba sana because bosi pia alijua what he was going through. Alivyoachishwa kazi akaja kuniaga akarudi kwao. That brother he was torn apart because of love. he couldn't take it anymore... Dada yake alikuja kunipigia March 2023 the brother died. Yule dada yupo tu huwa namuona mjini na life lake tu.
Kwa kifupi after that scenario nimeona unaweza ukaigiziwa maisha vizuri tu, riziki ikapatikana zaidi kwa mke au mpenzi wako hamuwezi toboa tena...! Dharau zitaanza tu kama hiyo pisi ilishamrudia jamaa na lovebite. . . !
Mfupi,, mweusi tii,,kalio limemezwa na tumbo,,nna komwe,,ni mneneeeeeeHii ni self golden chance π
Karibu sana naamini hautojuta, kuhusu muonekano wako usiwaze Mimi huwa siangalii muonekano hata kama una tabia nisizozipenda tutazitafutia suluhisho
Kasema nisubir kwanzaCampaign Manager Ivan Stepanov muhakikishie huyu mgombea mwenza
Sasa yeye yuko na haraka kwelMambo mazuri hayataki haraka, tulia kwanza
Akili inatakiwa nyingi sana kuishi nao,nilishasema hapo bila kumshirikisha Mungu unaweza kufanya chochote ukajikuta wewe ndio uko matatani,nimepitia hiyo njia nawajua sana hawa viumbe...Experience yangu hata umfanyie wema gani atakuacha tu..
Arusha 2014 jirani yangu alikuwa anafanya kazi taasisi fulani, financially alikuwa yuko poa sana. Kulikuwa kuna binti alikuwa anakuja kwake mostly on weekends... Siku ndo akani tambulisha hii ni pisi yake ila inasoma mkoa x chuo kikuu mwaka wa pili... Miaka ikaenda ile pisi ikawa haionekani kumbe ilikuwa chuo.
Mambo yakaenda vibaya kwa yule dada alifeli chuo so hakuweza kumaliza chuo. familia ikamtema mazima kwamba atajua na maisha yake. Familia ilienda mbali na kumuambia pesa walizo nazo niza kusomesha wadogo wa yule binti. So binti akamshirikisha boyfriend wake ambaye ni jirani yangu. Jamaa akamuambia aje tu maana hata kwenda nyumbani aliogopa.
Basi jamaa kwa kujua one day in this life atakuwa mke wake, akalibeba lile jambo na kuamua kumpeleka chuo kikuu kimoja kiko Arusha, alim somesha, chakula, mavazi yaani kwa kifupi alikuwa mzazi na boyfriend at once. akawa anaenda chuo for all the three years tumekaa nae pale, ila this time alitoboa graduation kila kitu fresh. Walikuwa poa sana kiukweli, ilikuwa ni couple moja strong sana ile unajua demu aki graduate wanafunga ndoa.
Demu aliendelea kukaa pale hadi akapata nafasi katika kampuni flani hivi alianza kwa kujitolea baadae akapata ajira ya kudumu, ila kupatikana hii kazi ni kwa juhudi za huyu mwamba. sijui salary yake but alikuwa ana safiri sana. Matatizo ndo yakaanza kule ndani. Demu alikuja kubadilika ndugu zangu siyo poa, kama mara tatu wameshikiana visu mule ndani, alikuja kumuacha mwamba kama hamjui and familia ikamuambia arudi nyumbani huyo jamaa siyo mume wake.
Jamaa alifanya attempt kama mbili za kutaka kujiua, alikuja kuwa mtu wa pombe sana, sigara nyingi sana (wakati hakuwa mnywaji kivile, wala mvutaji wa sigara) alikuja kukonda, kwenda job late, ananukia na pombe, kwa kifupi aliyumba sana ile kampuni ilijaribu kumbeba sana because bosi pia alijua what he was going through. Alivyoachishwa kazi akaja kuniaga akarudi kwao. That brother he was torn apart because of love. he couldn't take it anymore... Dada yake alikuja kunipigia March 2023 the brother died. Yule dada yupo tu huwa namuona mjini na life lake tu.
Kwa kifupi after that scenario nimeona unaweza ukaigiziwa maisha vizuri tu, riziki ikapatikana zaidi kwa mke au mpenzi wako hamuwezi toboa tena...! Dharau zitaanza tu kama hiyo pisi ilishamrudia jamaa na lovebite. . . !
Ninachojua mwanaume anataka heshima kutoka kwa mkewe na sio upendoKapeace Uliyoongea hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume wengi pia ni vichomi, lakini je inaondoa the fact kwamba asilimia kubwa ya wanawake wako kwenye mahusiano kwa ajili ya kuhudumiwa kipesa, ilhali hawana hisia za kimapenzi na huyo mwanaume anaewahudumia, wakijipata wanaenda ku-date na machaguo Yao
Hata mwanamke mwenzenu Mzigua90 alishaongelea haya kwenye uzi wake kuhusu Joyce kiria