Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

😳😳😳ivi upo serious wewe
 
Kwanini Hope.....most of you mnakuwa hivyo pale tu mnapoanza kumiliki kipato zaidi ya waume zenu?
, msijumlishe wanawake woote , ni kama hivi baadhi ya wanaume wanatoka na wake zao wakiwa hawana kitu kabisa akija zipata ubabani huko anatafuta binti wa kula naye maisha . .

mama wa nyumbani yeye anaambiwa amezeeka,.. hvyohvyo hili suala la wanawake kubadilika sio la wote Tz nzima...Naendelea kufuatilia huu mjadala,
je wewe yalishawahi kukukuta au kumpata mtu wako wa karibu,?ilikuwaje?
 
Mwanamke anaweza kukuzidi elimu,kipato,umri....lkn usiruhusu akuzidi akili,kwa maelezo yako mkeo alikuzidi akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…