Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

A
Acha kabsa huwezi amini leo hii mimi josse kongoro nimetikiswa vibaya mnoo najitajid kusimama kuime lakini machozi yanatoka bila kipingamizi wataalam wa psychology waje hapa nawezaje kumove on
 
Mimi bado hayajanikuta kwasababu bado sijaoa ila nakutana na hizi cases nyingi mpaka zinatupa hofu ya kuingia huko wenzetu walipo.
 
A

Acha kabsa huwezi amini leo hii mimi josse kongoro nimetikiswa vibaya mnoo najitajid kusimama kuime lakini machozi yanatoka bila kipingamizi wataalam wa psychology waje hapa nawezaje kumove on
Yani nawaombea sana ambao haijawahi kuwakuta haya mambo yanatishia depression mkuu.

Pole mno mkuu.
 
Story zime base upande mmoja inamaana nyie wanaume ndio mnakaa perfect hamna makando kando ya kutelekeza familia kwenye mahusiano?
 
Story zime base upande mmoja inamaana nyie wanaume ndio mnakaa perfect hamna makando kando ya kutelekeza familia kwenye mahusiano?
Asilmia kubwa ya wazazi ,baba Ndo wenye kipato kikubwa na hakuna baya linalotokea..Sana sana baba atakuwa na kamchepuko ila ataiheshimu ndoa yake na mambo yote yatakwenda vizuri...Ila mwanamke akiibukia kwenye kipato familia lazima iwake moto
 
What goes around comes arounds kunasiku hyo mdada kama ulichoeleza ni kwel atayatiba tu...


By the way nipo tayari kukoselewa ila kusema ukwel mwanamke hajaumbwa kumiliki mali na hii ni kwa sababa hajaumbwa kupenda....
 
Hapo Dawa tafuta Hela Baadaye atakukumbuka tuu
 
Natoa rai kwa ndugu zetu waliojisahau na kuanza ku comment mambo yao binafsi kwenye hadhara......wajue kuwa huo sio uungwana......na kujidhalilisha.....faragha zipo.......inatukera kusoma mambo ambayo mlitakiwa myaone nyinyi wenyewe.........
Cc
Manyanza
Ms R
Kapeace

NB
Natanguliza radhi kama kwa namna moja au nyingine andiko hili litawakera.... tunakumbushana tu kibinadamu kwani naamini mmejisahau tu
 
Haya mambo ya kuwapa Wanawake mtaji wa biashara ni kama unaanza kumuondoa kuwa Mke wa wote.
Ataanza kufuata mizigo kama yupo Mkoani ataenda Dar,na Wanawake wasivyo na akili lazima ataliwa tu huko anapo fuata mizigo.
Haya mambo ni magumu sana,wanawake wwngi tamaa na ubinafsi ni kama maji na samaki.
 
Ukipigwa tukio mara moja either la wewe kupigwa au kupiga red card,likitokea next time huwezi babaika.
Ni kama mtu ambaye alisha achwa/acha na Mke/Mme siku akiishi na Mme au Mke halafu akamlete kuchi kuchi lazima kumuacha ni swala la sekunde.
 
mambo yapi hayo mkuu fafanua,,na je ni mageni kwako au niwewe hujapenda tu!?

Nb,,nakukumbusha pia kama siku nyingine usisome kitu usichopenda,coz inaonesha ulitulia na comment moja baada ya nyingine,,, WE'RE SORRY MKUU.
 
much pain brother
 
Mi umenikera au labda umenitag kwa bahati mbaya, soma post zangu vizuri kwenye hii mada, waliotoka nje ya mada wameelezwa na kuelewa vizuri bila tatizo, wewe sasa ili usipitwe na kiherehere unarudisha mjadala ulioisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…