BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Niwie radhi bibie nimeghafirika.......🙏🙏🙏Mi umenikera au labda umenitag kwa bahati mbaya, soma post zangu vizuri kwenye hii mada, waliotoka nje ya mada wameelezwa na kuelewa vizuri bila tatizo, wewe sasa ili usipitwe na kiherehere unarudisha mjadala ulioisha,
Sawa bibie...... niwie radhi mimi......mambo yapi hayo mkuu fafanua,,na je ni mageni kwako au niwewe hujapenda tu!?
Nb,,nakukumbusha pia kama siku nyingine usisome kitu usichopenda,coz inaonesha ulitulia na comment moja baada ya nyingine,,, WE'RE SORRY MKUU.
Some people has to learn from us,Sawa bibie...... niwie radhi mimi......
Kataa ndoa ni utapeli kwa mwanaumeWanawake wengi wapo na wanaume wasiowapenda ili tu wapate huduma, siku wakijipata wanaenda kutafuta type zao. Pole sana mkuu Kwa kutumika, kuchezewa na kuachwaw
Sawa.....Some people has to learn from us,
Naam umenena vema mkuuHivi naanzaje kuumia kwa ajili ya mtu??
Kwanza nikishaona dalili tu nakufukuza dakika sifuri.
Sivumilii na siko tayari kuumizwa na mtu awaye yeyote.
I am so important and special, kwanza sikuja duniani kulilia vinyeo vya wanawake au miboro ya wanaume. HAPA KAZI TU.
Yaani niliee kabisa??? Mimi? Kwa ajili ya mtu? Hehehee... fyekelea mbali!
Cc: Extrovert Lamomy stress the challengerr The Mongolian Savage adriz Mufti kuku The Infinity. The Stress Challengerr Depal Yohimbe bark Mzee wa kupambania dronedrake Poor Brain fundi bishoo
PoleMiaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha sasa kipindi chote hicho alikuwa anafanya shughuli ndogondogo tu.
Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.
Picha linaanza kwanza amepangiwa mkoani akili ikacheza mmh nikiwa nipo kwenye dilema ya maamuzi kwao wakawa wapo karibu nae zaidi na wakamwambia aende huko kwa kuwa watoto bado wadogo waende kwa bibi yao yaani mama yake hadi mambo yatakapokuwa sawa kule then awachukue.
Basi mwezi ukaisha mwezi wa pili mara miezi sita nikaanza kuona mapicha picha kwanza sikuwahi kuona hela yake ingawa alikuwa analipwa mara 4 ya mshahara wangu bado nilitakiwa kutuma pesa ya matumizi kwangu hakuwa shida maana naelewa mwanaume ndio mtunza familia kifedha.
Alifanikiwa kurudi kipindi cha mwanzo mwanzo tu tena akaniletea nyodo hatari stori zake sasa ooh mwaka huu nanunua gari sijui wewe umeshindwa hiki na kile nikitaka tunda anajivutaa nikajisemea hii ngoma ndio imeshavuja hapa. Kwakweli haikufika hata mwaka tukabwagana.
Hakuna kipindi nilikonda kama kipindi kile full mawazo alafu ndugu zake wananichora tu kenge wale!
ilibaki kidogo nidondoke nifeee!
Kuna mama mmoja mtu wa makamo akanifuata na kuniweka chini kisha akanipa ushauri mmoja wa nguvu sana akaniambia kijana wangu usiwe mnyonge hivyo tafuta mwanamke mdogo na mzuri kuliko mkeo then furahia maisha haya maisha ni mafupi sana na utamsahau.
Kwa kweli namshukuru sana yule mama maana from there maisha yalibadilika taratibu nilianza kumsahau yule mwanamke na mambo yake ingawa bado muda mwingine naumia ila ndio maisha isee
tuishi nao kwa akili!
Kwanini nimeleta huu uzi?
Nataka vijana wenzangu hasa hawa wadogo ambao wanajianda kuingia kwenye maisha ya familia wawe makini na kujitaidi wajipende na wao wasijitoe sana kwa ajili ya familia zao things change na maumivu utayopitia sio ya kawaida mm nilikuwa najiona mgumu nilikuwa nashangaa wanaume wanaolalamikia wake zao ila yalivyonikuta nilijishangaa najikaza ila uso na mwili vilijionyesha kuwa nipo kwenye maumivu jamani maumivu ya mahusiano hayaelezeki tena kwa sisi ambao tulishakuwa na familia utashangaa chakula hakipiti wala maji hayashuki.
Kuna bond inayojitengeneza ukishazoea kuwaona watu wako wa karibu kila siku kuitoa hiyo ni ngumu sana yaani kuna muda nilikuwa nikikaa hivi fikra za watoto wangu wapo mbali muda niliopoteza kuwa na mwanamke yule nilikuwa nafamilia ghafla naishi mwenyewe machozi yanatoka yenyewe tu.
Nashukuru sana gospel music inafariji sana.
Umesema yotee...wanawake tuna vifua Sana vya handle skendo zaooo na huwa wanatuchukulia poa Sana...Haya mambo ni timing tu haina cha jinsia fulani, faida tuliyonayo wanawake ni km siku hizi tuna vifua yani hatulalamiki ovyo km nyie, tuna uwezo wa kuvumilia usaliti wenu, kubwa zaidi mapenzi yakiisha ni yameisha hapo ndo huwa tunaonekana vivuruge kumbe wala sometimes nyie ndio visababishi vya sie kufikia huko,
Kupiga
Ulevi mbwa
Umalaya
Manyanyaso ya kihisia ni vitu vinavyofanya mioyo iwe sugu tukinyamaza msidhani ni wajinga
Ndo hivyo tukichoka na kufanya maamuzi wanatuona kama majangiliUmesema yotee...wanawake tuna vifua Sana vya handle skendo zaooo na huwa wanatuchukulia poa Sana...
Pole sana mkuuMiaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha sasa kipindi chote hicho alikuwa anafanya shughuli ndogondogo tu.
Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.
Picha linaanza kwanza amepangiwa mkoani akili ikacheza mmh nikiwa nipo kwenye dilema ya maamuzi kwao wakawa wapo karibu nae zaidi na wakamwambia aende huko kwa kuwa watoto bado wadogo waende kwa bibi yao yaani mama yake hadi mambo yatakapokuwa sawa kule then awachukue.
Basi mwezi ukaisha mwezi wa pili mara miezi sita nikaanza kuona mapicha picha kwanza sikuwahi kuona hela yake ingawa alikuwa analipwa mara 4 ya mshahara wangu bado nilitakiwa kutuma pesa ya matumizi kwangu hakuwa shida maana naelewa mwanaume ndio mtunza familia kifedha.
Alifanikiwa kurudi kipindi cha mwanzo mwanzo tu tena akaniletea nyodo hatari stori zake sasa ooh mwaka huu nanunua gari sijui wewe umeshindwa hiki na kile nikitaka tunda anajivutaa nikajisemea hii ngoma ndio imeshavuja hapa. Kwakweli haikufika hata mwaka tukabwagana.
Hakuna kipindi nilikonda kama kipindi kile full mawazo alafu ndugu zake wananichora tu kenge wale!
ilibaki kidogo nidondoke nifeee!
Kuna mama mmoja mtu wa makamo akanifuata na kuniweka chini kisha akanipa ushauri mmoja wa nguvu sana akaniambia kijana wangu usiwe mnyonge hivyo tafuta mwanamke mdogo na mzuri kuliko mkeo then furahia maisha haya maisha ni mafupi sana na utamsahau.
Kwa kweli namshukuru sana yule mama maana from there maisha yalibadilika taratibu nilianza kumsahau yule mwanamke na mambo yake ingawa bado muda mwingine naumia ila ndio maisha isee
tuishi nao kwa akili!
Kwanini nimeleta huu uzi?
Nataka vijana wenzangu hasa hawa wadogo ambao wanajianda kuingia kwenye maisha ya familia wawe makini na kujitaidi wajipende na wao wasijitoe sana kwa ajili ya familia zao things change na maumivu utayopitia sio ya kawaida mm nilikuwa najiona mgumu nilikuwa nashangaa wanaume wanaolalamikia wake zao ila yalivyonikuta nilijishangaa najikaza ila uso na mwili vilijionyesha kuwa nipo kwenye maumivu jamani maumivu ya mahusiano hayaelezeki tena kwa sisi ambao tulishakuwa na familia utashangaa chakula hakipiti wala maji hayashuki.
Kuna bond inayojitengeneza ukishazoea kuwaona watu wako wa karibu kila siku kuitoa hiyo ni ngumu sana yaani kuna muda nilikuwa nikikaa hivi fikra za watoto wangu wapo mbali muda niliopoteza kuwa na mwanamke yule nilikuwa nafamilia ghafla naishi mwenyewe machozi yanatoka yenyewe tu.
Nashukuru sana gospel music inafariji sana.
HeeeeYani demu akishashika mawe ni mzozo mwaka jana kuna demu nilitoka nae kimahusiano si akapata ka uteuzi katika serikali ya bi Hangaya kutoka afisa mpka mteule mara anaendeshwa na magari ya wasojulikana though na mimi na kaz yangu nzuri tu private aisee nlichezea za mandonga.
Kimsingi tulichokuja kushindwana demu alikua analeta mamlaka nyumbani😂😂😂 mimi nmwambia kama ww ni Sekali na ni Mamlaka mimi ni kiti na mume wa Serikali ndo mimi. Nikawa namsisitiza akinioa mchana namuoa Usiku au akija kwangu kwa hyo hana cha kunitisha Aisee hyu demu wazee nlkua nshamtambulisha sema mamlaka na Pesa zilitutenganisha 😥😥 nikaona acha ni reduce circle.
Ila Popte ulipo dear xxxee Mh. Nakupa mizinga yako 10 siyo kwa koki ya maji💦💦💦 yale ulokua ukiyafungulia kitandani ulinibless sna. Kazi iendelee😁😁😁
Aisee yule mteule jamani Hangaya alinipeperushia ndege wangu😂😂 Acha ni mpe ma Upendo na maflower yake yani Humuuu tu!humuu tu!!Heeee
Mtunzie siri Mwenzako.. na wewe., Koki za maji ??hio ni siri yako na yeye
Kama ni cheo klikupeperushia ndege wako, siku Akitumbuli* atakurudia tu kuwa na subraAisee yule mteule jamani Hangaya alinipeperushia ndege wangu😂😂 Acha ni mpe ma Upendo na maflower yake yani Humuuu tu!humuu tu!!
mr kuo nakushauri tu oa mwanamke mwingine achana na huyo mbwa... utakuja kunishukuru usije kumdhuruWenzako tulioa ndoa halari, mke akaondoka na vitu vyote vya ndani kwenda kusikojulikana mtoto kapeleka kwa mama yake, ndoa haijavunjwa kwa talaka, hapa nawaza sijui nifanye nini ila najijua ipo siku nitaamka na la kufanya kwa sasa ni kama akili imesimama nimezubaa ila sio la kusamehe mtu wala kumrudisha.
Aliyeacha kazi ni mwanamke mwenyewe,kasomeshwa kapata kazi ila kakimbilia Dar kwa Injinia..Mwanaume anaendelea na kazi ingawa imemuathiri sana kisaikolojiaHuyo alieacha kazi anahitaji msaada wa kisaikolojia, ndufu zake ni nyie msimuache , ni dalili za deprission anaweza jidhuru.
On the contrary ladies huwa wanashangaa kwann some guys wanakuwa wakatili na wanawake, well sababu ndio hii most of mans become cold after hayo matukio, some wanarudi normal but it takes time