Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Hela ndio nguvu zako ndio mamlaka yako. Ukioa mwanamke kama ana kazi mfanye mshikaji wako sana halafu tengenezen bajeti elekezi ya familia. Yaan mnaweza kusema kila mwez tuweke milion 2 chini then mwakan tununue kiwanja tujenge jumba letu la kifahar. Jitahd awe mshikaji kweli kweli na usiwe mtu wa kukariri makosa yake na muda mwingi uwe tayar kusikiliza umbea wake. Wana umbea mwingi kuwa shosti wake na wewe mpe kidogo kidogo. Utaona cku zinaenda. Tumia akili zaid ukiish na mwanamke. Zijue mapema tabia zake ukaziishi accordingly. Muombe Mungu kila wakat
Hapa sasa nature inagoma
 
Tumekuwa pamoja kwenye mahusiano since 2020 tumepanga kila kitu mwaka huu ndio ilkuwa namuweka ndani kwao wananijua na kwetu anajulkana.

Tumeishi vzr mno kwa muda wa 3yrs nlikuwa kama nmeoa tu maana nilkuwa nagharamia kila kitu aseeh, shida ilkuja mwez wa 4 tu hapa tumekaa akawa kapigiwa Simu nikaona anaongea kwa wasiwasi sana si ndio nkasema ngoja tuulzane akawa mbishi kusema huyo ni nani nkanyakua Simu nkatazama charting zao nkajua hawa ni wapenzi tena walioshibana kbs.

Kumuulza akawa amekiri ni mtu wake na wako wana date since 2022 aseeh nilichoka na nilishindwa nmfanye nn ,bas bana nlijikaza kiume sana ila maumivu ninayopitia hayaelezeki nlfuta nmba yke akantafuta akidai tuonane anahtaji kunpa namba ya yule jamaa tuzungumze ili nijue ndio ameachana nae ili tuendelee na mipango yetu but hapana nmeumia sana nkiishi nae sitakuwa na amani wala imani nae, aseeh sjui km hili jeraha litawahi kupona.
Aisee, umegundua mapema.
A woman cheat kipindi cha uchumba.
Don't marry, she will be a cheater forever and ever
 
Mapicha picha yalivyozidi, mshikaji akafunga safari hadi huko mlimani akakaa na wazazi wa mke wake.

Wazazi baada yakuona ndoa ya mtoto wao iko matatani, wakamfungia safari pia.
Binti akaelezwa facts zakutosha, licha ya msaada mkubwa aliokuwa anawapa wazazi wake. Wale wazee wakamkumbusha alikotoka, wakajitahidi sana kushusha kiburi chake.

Walimchana kabisa kuwa akitoka hapo, ajue kila biashara inayompa pesa, itapukutika kwasababu msingi wake ni hiyo ndoa.

Mungu saidia aliwaelewa sana wazazi wake.

Pia naona ndoa nyingi zinazovunjika kwasababu ya pesa, wazazi/ndugu wa ukeni huwa wanamchango mkubwa.
Kimsingi mpaka kufikia hapo tayari hakuna ndoa........

Msingi wa kwanza wa ndoa ni ridhaa baina ya wanandoa.......ikitokea ndoa inasukumwa na watu wa nje maana yake hapo kuna ufa mkubwa sana.......

Huyo mwanamke analazimika kuiishi ndoa ambayo hana ridhaa nayo bali kwa msukumo wa wazazi na vitisho.......

Mtu wa kwanza atakayepitia kwenye tanuru la moto ni huyo mume......

Mtu akishakuambia tuachane maana yake kwa muda huo hana hisia na wewe tena kama mpenzi wake......

Lazima ifkie nyakati tuzifundishe nafsi zetu kuukubali uhalisia hata ikiwa unauma with time utapona kuliko uendelee kujiongezea vidonda ambavyo unayemtazamia akutibie ndiye anayevimwagia tindikali.......
 
Ndoa ipo.
Ikipata washauri wazuri.
Wale watu wanaheshimiana sana siku hizi.
Washauri wazuri wanauwezo wakuwarudisha watu kwenye mstari.

Sasa hivi mizigo ya far East na Middle East na East Europe mara nyingi wanaenda wote au mwamba huwa anaenda mwenyewe
 
KIJANA KAMA UNATAKA UJE KUWA NA NDOA ILIYOBARIKIWA, WATOTO WALIOBARIKIWA, MME AU MKE ALIYEBARIKIWA, UJANA ULIOBARIKIWA, FAMILIA ILIYOBARIKIWA, MARAFIKI WALIOBARIKIWA, N.K BASI MTUMIKIE MUNGU KIPINDI HIKI CHA UJANA WAKO.

Kijana "Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zilizo mbaya"
Usiongee kirahisirahidi hivi wewe.Mungu hana upendeleo..ns unafikiri wanaopitishwa kwenye moto ndo wakosaji au wako mbali na Mungu??
 
Ndoa ipo.
Ikipata washauri wazuri.
Wale watu wanaheshimiana sana siku hizi.
Washauri wazuri wanauwezo wakuwarudisha watu kwenye mstari.
Sipingani juu ya hilo.... lakini nina ushahidi juu ya hilo na mimi nikiwa shuhuda wa kwanza........

Ni rahisi kusuluhisha kesi za wanandoa zinazo husu migogoro ya kawaida lakini migogoro inayohusisha mambo ya kutaka muachane huwa haina mwisho mwema........

Kumbuka ndoa ni ridhaa ya moyo mtu........

Time will tell.......
 
Sure.
Ishu ni kutibu hiyo source ya kutaka kuachana.
Kiburi, majivuno, nk
Hawa watu hawataachana tena.
 
Kukosea ni pale kujitoa kwa mwanamke mpaka unakosa akili.
Mi bahati nzuri nilimtapeli mkwe mpaka leo haamini ananidai.
Yule binti kwasasa ni mama mtoto.
Sijatoa senti kumi.
Sijui hata nisemeje alikua mzuri maarufu na pesa ipo kwao.
Mzee alijua kawekeza binti ataolewa na kibopa.
Binti penzi limemkolea kanipeleka mimi kwa wazazi
huko Kaskazini.
Mi kapuku tu.
 
mambo yapi hayo mkuu fafanua,,na je ni mageni kwako au niwewe hujapenda tu!?

Nb,,nakukumbusha pia kama siku nyingine usisome kitu usichopenda,coz inaonesha ulitulia na comment moja baada ya nyingine,,, WE'RE SORRY MKUU.
Kikulacho yupo sahihi, huu siyo uzi wa hizo story zenu, story zenu mkazifanye huko PM
 
Mapicha picha yalivyozidi, mshikaji akafunga safari hadi huko mlimani akakaa na wazazi wa mke wake.

Wazazi baada yakuona ndoa ya mtoto wao iko matatani, wakamfungia safari pia.
Binti akaelezwa facts zakutosha, licha ya msaada mkubwa aliokuwa anawapa wazazi wake. Wale wazee wakamkumbusha alikotoka, wakajitahidi sana kushusha kiburi chake.

Walimchana kabisa kuwa akitoka hapo, ajue kila biashara inayompa pesa, itapukutika kwasababu msingi wake ni hiyo ndoa.

Mungu saidia aliwaelewa sana wazazi wake.

Pia naona ndoa nyingi zinazovunjika kwasababu ya pesa, wazazi/ndugu wa ukeni huwa wanamchango mkubwam

Mimi naona kabla ya kuoa chunguza familia ya huyo mwanamke hasa wazazi wake jinsi wanavyoishi maana hao ndo nguzo ya ndoa yenu kama wapo hai.. na kama hana wazazi chunguza namna anavyoishi na walezi wake.

Mapicha picha yalivyozidi, mshikaji akafunga safari hadi huko mlimani akakaa na wazazi wa mke wake.

Wazazi baada yakuona ndoa ya mtoto wao iko matatani, wakamfungia safari pia.
Binti akaelezwa facts zakutosha, licha ya msaada mkubwa aliokuwa anawapa wazazi wake. Wale wazee wakamkumbusha alikotoka, wakajitahidi sana kushusha kiburi chake.

Walimchana kabisa kuwa akitoka hapo, ajue kila biashara inayompa pesa, itapukutika kwasababu msingi wake ni hiyo ndoa.

Mungu saidia aliwaelewa sana wazazi wake.

Pia naona ndoa nyingi zinazovunjika kwasababu ya pesa, wazazi/ndugu wa ukeni huwa wanamchango mkubwa.
Mimi naona kabla ya kuoa chunguza familia ya huyo mwanamke hasa wazazi wake jinsi wanavyoishi maana hao ndo nguzo ya ndoa yenu kama wapo hai.. na kama hana wazazi chunguza namna anavyoishi na walezi wake.
 
Tumekuwa pamoja kwenye mahusiano since 2020 tumepanga kila kitu mwaka huu ndio ilkuwa namuweka ndani kwao wananijua na kwetu anajulkana.

Tumeishi vzr mno kwa muda wa 3yrs nlikuwa kama nmeoa tu maana nilkuwa nagharamia kila kitu aseeh, shida ilkuja mwez wa 4 tu hapa tumekaa akawa kapigiwa Simu nikaona anaongea kwa wasiwasi sana si ndio nkasema ngoja tuulzane akawa mbishi kusema huyo ni nani nkanyakua Simu nkatazama charting zao nkajua hawa ni wapenzi tena walioshibana kbs.

Kumuulza akawa amekiri ni mtu wake na wako wana date since 2022 aseeh nilichoka na nilishindwa nmfanye nn ,bas bana nlijikaza kiume sana ila maumivu ninayopitia hayaelezeki nlfuta nmba yke akantafuta akidai tuonane anahtaji kunpa namba ya yule jamaa tuzungumze ili nijue ndio ameachana nae ili tuendelee na mipango yetu but hapana nmeumia sana nkiishi nae sitakuwa na amani wala imani nae, aseeh sjui km hili jeraha litawahi kupona.
Utapona bora umefahamu mapema, maana ungeoa na mwamba angeendelea kujilia mtu wake uje kulelea watoto wa watu ndoani.
 
Back
Top Bottom