Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Hapa sasa nature inagoma
 
Aisee, umegundua mapema.
A woman cheat kipindi cha uchumba.
Don't marry, she will be a cheater forever and ever
 
Kimsingi mpaka kufikia hapo tayari hakuna ndoa........

Msingi wa kwanza wa ndoa ni ridhaa baina ya wanandoa.......ikitokea ndoa inasukumwa na watu wa nje maana yake hapo kuna ufa mkubwa sana.......

Huyo mwanamke analazimika kuiishi ndoa ambayo hana ridhaa nayo bali kwa msukumo wa wazazi na vitisho.......

Mtu wa kwanza atakayepitia kwenye tanuru la moto ni huyo mume......

Mtu akishakuambia tuachane maana yake kwa muda huo hana hisia na wewe tena kama mpenzi wake......

Lazima ifkie nyakati tuzifundishe nafsi zetu kuukubali uhalisia hata ikiwa unauma with time utapona kuliko uendelee kujiongezea vidonda ambavyo unayemtazamia akutibie ndiye anayevimwagia tindikali.......
 
Ndoa ipo.
Ikipata washauri wazuri.
Wale watu wanaheshimiana sana siku hizi.
Washauri wazuri wanauwezo wakuwarudisha watu kwenye mstari.

Sasa hivi mizigo ya far East na Middle East na East Europe mara nyingi wanaenda wote au mwamba huwa anaenda mwenyewe
 
Usiongee kirahisirahidi hivi wewe.Mungu hana upendeleo..ns unafikiri wanaopitishwa kwenye moto ndo wakosaji au wako mbali na Mungu??
 
Ndoa ipo.
Ikipata washauri wazuri.
Wale watu wanaheshimiana sana siku hizi.
Washauri wazuri wanauwezo wakuwarudisha watu kwenye mstari.
Sipingani juu ya hilo.... lakini nina ushahidi juu ya hilo na mimi nikiwa shuhuda wa kwanza........

Ni rahisi kusuluhisha kesi za wanandoa zinazo husu migogoro ya kawaida lakini migogoro inayohusisha mambo ya kutaka muachane huwa haina mwisho mwema........

Kumbuka ndoa ni ridhaa ya moyo mtu........

Time will tell.......
 
Sure.
Ishu ni kutibu hiyo source ya kutaka kuachana.
Kiburi, majivuno, nk
Hawa watu hawataachana tena.
 
Kukosea ni pale kujitoa kwa mwanamke mpaka unakosa akili.
Mi bahati nzuri nilimtapeli mkwe mpaka leo haamini ananidai.
Yule binti kwasasa ni mama mtoto.
Sijatoa senti kumi.
Sijui hata nisemeje alikua mzuri maarufu na pesa ipo kwao.
Mzee alijua kawekeza binti ataolewa na kibopa.
Binti penzi limemkolea kanipeleka mimi kwa wazazi
huko Kaskazini.
Mi kapuku tu.
 
mambo yapi hayo mkuu fafanua,,na je ni mageni kwako au niwewe hujapenda tu!?

Nb,,nakukumbusha pia kama siku nyingine usisome kitu usichopenda,coz inaonesha ulitulia na comment moja baada ya nyingine,,, WE'RE SORRY MKUU.
Kikulacho yupo sahihi, huu siyo uzi wa hizo story zenu, story zenu mkazifanye huko PM
 

Mimi naona kabla ya kuoa chunguza familia ya huyo mwanamke hasa wazazi wake jinsi wanavyoishi maana hao ndo nguzo ya ndoa yenu kama wapo hai.. na kama hana wazazi chunguza namna anavyoishi na walezi wake.

Mimi naona kabla ya kuoa chunguza familia ya huyo mwanamke hasa wazazi wake jinsi wanavyoishi maana hao ndo nguzo ya ndoa yenu kama wapo hai.. na kama hana wazazi chunguza namna anavyoishi na walezi wake.
 
Utapona bora umefahamu mapema, maana ungeoa na mwamba angeendelea kujilia mtu wake uje kulelea watoto wa watu ndoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…