Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Tambua kitu kimoja kikubwa,mwanadamu ni mbinafsi sana tena mno,ila mwanaume anahuruma kwa familia yake,mwanamke anaweza asimpende hata mwanae wakumzaa hio ni saikolojia yao and katika kiwango cha ubinafsi wao wanaumimi sana kuliko usisi. Kwakujua hilo wapende kwa kiwango and jipende mwenyewe pia
 
Pole yake,usimwonee mwanamke huruma
 
Nikisikia storie za ndoandoa na Mikasa yake .... Na yaliyonikuta pia .... Basi tu ..... Kwa zama hizi ndoa sio Dili aseee.... Kutafutiana vifo bin vifungo tu.
 
Mwanaume, ukitaka kufurahia maisha ya ndoa, oa Mwanamke anayekupenda. Usioe Mwanamke unayempenda. Narudia tena, subiri upendwe, wewe mwanaume kaa upande wa kupendwa na sio upande wa kupenda.

If you know, you know.
 
Pesa hazikumbadilisha ila alikuwa hakupenzi ila kwakuwa ana njaa akavumilia. Alivyoshiba ilibidi awe mkweli.
 
Ukumsaidia mwanamke kutoboa akipanda level ataanza kujiuliza why yupo na mtu kama wewe na sio mtu wa level ya juu yake. Hypergamy hiyo.

Nilikuwa na demu kwenye baby walker barabara kubwa, kwenye foleni ikaja Land cruiser Prado, demu kaitazama bila aibu akanambia ile ndio gari na anatamani kumiliki kama ile one day.

Nikamtazama nikimtathimini. Sasa nikawaza, yeye wazazi wake wapo mkoani ni wa kulima wa kilimo cha kujitosheleza na wafugaji wa ng'ombe na mbuzi chache kwa matumizi ya nyumbani, hawana hata pikipiki. Leo uongee maneno ya namna hiyo kwangu kijana nimejitafuta ya afadhali nina baby walker nimepiga hatua.

Nimekupa heshima ya kuwa ubavu wangu tufurahie maisha na haka ka'baby walker wakati tukijipanga kupata gari nzuri zaidi kwa macho na akili ya tamaa unapoint gari milioni 100 na ushee, matako yako unaweza hata mudu kununua bajaji takataka kabisa.

Nilijisikia fedheha sana siku ile na nikaona watoto wa kike wa siku hizi wanalelewa maisha ya kuamini wanaweza kupata chochote wanachotaka bila kujali kwa namna gani ila somehow watakipata sababu wana miili yao na itawapa access ya kukipata. Nikamdharau na tokea siku ile nikawa nimemgeuza side chick bila kujua na sikuwa nimemuweka kichwani tena nilimuweka kwenye pumbu, nikiwa na hamu ya kungonoka namuwaza yeye sana nikiwa sina hamu nasahau kama yupo.

Vijinga sana hivi vibinti vya siku hizi. Tamaa mbele mauti ya kiroho na kimwili yafuata.
 
Seems we have the common stand.

Unakutana na mwanamke unamwambia mimi bado sijafanikiwa, anakwambia fanikiwa kwanza.

Nikishafanikiwa sijaoa, sitahitaji ndoa
Vijana wengi wa kisasa especially uzao wa kuanzia miaka ya 1980's wana struggle na mahusiano na kushindwana na ndoa kwasababu mabinti hawakuwa programed kuishi na kutumikia ndoa ila walikuwa programed kutaka mafao au vile vinavyopatikana ndoani kisha wajitegemee.

Simple observation ni kwann mafanikio yakishapatikana mwanamke anakuwa hajali watoto wala mume anachotaka ni mgao wake?

Tazama hata kesi nyingi za talaka ni aidha mke anataka mgao wa mali anazomiliki na mumewe au atataka talaka ya haraka kama ameshabadilisha maisha yake na anaona anaweza kujimudu kuishi mwenyewe na kutengeneza pesa yake hata kama ni kidogo. Yaani ni ushamba fulani na ulimbukeni wanaojiaminisha wakidhania Maisha haya wanaume bila wanawake hawataweza fanya chochote cha maendeleo na pia wana ile hofu ya kujipa kuwa mwanaume somehow kwasababu zisizojulikana atakuja msaliti huko mbeleni au atakuja mpiga matukio ikiwamo kumfilisi, kumdhurumu mali, kumreplace na binti mpya tena mbichi, na kadhalika.

Sasa mwanaume ambaye anatumia akili kwanza usiingie katika ndoa kwa maudhui au kujiaminishi upo na soulmate au mtu ambaye atakuwa na wewe bega kwa bega, NO. Wewe ingia lakini jua ni 100% wewe tu, huyo unaingia nae ni kama assistant wa kukusaidia kufanya mbili tatu za ndoani ikiwamo kukulelea watoto wako, na msiri wa mambo yako, ila achana na mbaga za kumu empower awe independent ili aje kuwa msaada, jua utakuja kulia mbeleni.

Jambo lingine, mapenzi ya kweli ni story ya kusadikika kwasababu wanawake wa sasa wapo loyal to their feelings tu nothing else, wanaweza sacrifice hata mtoto wake wa kumzaa kwa furaha yake, so usiumize kichwa chako kutaka akupe wewe priority kujizidi. Wewe mtumie kadiri ya uwezavyo kwa faida zako, ukiona kabisa hili jambo litakwenda kumpa nguvu na mafanikio makubwa usije ukamsapoti unless unataka kumpoteza, otherwise msapoti kwasababu ni mama watoto wako ila kama ni manzi tu trust me atafungua kurasa mpya ya kwake pekee yake huku bado mkiwa hamjamaliza kuandika kurasa yenu ya pamoja.

Kimsingi fanya plans ziwe ni module yako wewe yeye akija awe assistant tu, asiwe partner wala associates, wala manager. Panga kinachokwenda na mindset yako. Acha kutoa share ya umiliki wala authority kwake utakuja kulia.
 
Pole sana mkuu,
Pesa hubadilisha akil ya mwanamke [emoji817].

Kwa sisi wanaume hatubadlk hata tupate u billionaire tutabak na wanawake/wake zetu.
Sio wakurya
Mabingwa kutelekeza wake zao na kuwanyanyasa hawa watu wakijipata
 
Mmhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…