Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Kapeace Uliyoongea hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume wengi pia ni vichomi, lakini je inaondoa the fact kwamba asilimia kubwa ya wanawake wako kwenye mahusiano kwa ajili ya kuhudumiwa kipesa, ilhali hawana hisia za kimapenzi na huyo mwanaume anaewahudumia, wakijipata wanaenda ku-date na machaguo Yao

Hata mwanamke mwenzenu Mzigua90 alishaongelea haya kwenye uzi wake kuhusu Joyce kiria
 
Hili somo kumbe na wewe lilikupita? Ni wanawake 1/1000 ambao wakiwa na kazi wanaweza kushare vipato vyao kwa wanafamilia wote.

Hata wale unaoona wanaishi nao wanavumilia tu kama kondoo.
 
Hili somo kumbe na wewe lilikupita? Ni wanawake 1/1000 ambao wakiwa na kazi wanaweza kushare vipato vyao kwa wanafamilia wote.

Hata wale unaoona wanaishi nao wanavumilia tu kama kondoo.
 
Daah Pole sana Mzee ulipitia magumu.

Anashindwa kuelewa kuwa pesa zako zina matumizi mengi ikiwemo kutunza familia na mahitaji ya kila siku...

Hii inatokea sana.

Imagine pesa zako unatunza ukoo mzima ila za kwake anaweza mfukoni hata chumvi hanunui harafu baadae anakuletea Shombo eti umeshindwaje kununua gari?

Inauma sana.
 
Pole sana brother.
 
Mkuu ulikaa naye miaka mingapi?
 
Kuna mtu alileta uzi humu akiwananga watu wanaofunga ndoa na kutumia pesa nyingi kwa sababu ya Mwanamke ambaye analiwa na wanaume wengine bure kabisa bila hata shilingi wakamshangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…