uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Mali mkuu.Duh sababu ilikua nini ugomvi wa mapenzi au mali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali mkuu.Duh sababu ilikua nini ugomvi wa mapenzi au mali?
Lete story mkuu....tujifunzeUmenikumbusha majanga yangu yanataka kufanana na yako.. Kwa kweli psychologically najikuta nawachukia wanawake
Mali mkuu, nyumba, gari na duka.Duh sababu ilikua nini ugomvi wa mapenzi au mali?
mimi sio kabisaAsante saana.
Hivi mnajua mnavyotutesa saana???
I hope wewe sio Kama hao
Kapeace Uliyoongea hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume wengi pia ni vichomi, lakini je inaondoa the fact kwamba asilimia kubwa ya wanawake wako kwenye mahusiano kwa ajili ya kuhudumiwa kipesa, ilhali hawana hisia za kimapenzi na huyo mwanaume anaewahudumia, wakijipata wanaenda ku-date na machaguo YaoHaya mambo ni timing tu haina cha jinsia fulani, faida tuliyonayo wanawake ni km siku hizi tuna vifua yani hatulalamiki ovyo km nyie, tuna uwezo wa kuvumilia usaliti wenu, kubwa zaidi mapenzi yakiisha ni yameisha hapo ndo huwa tunaonekana vivuruge kumbe wala sometimes nyie ndio visababishi vya sie kufikia huko,
Kupiga
Ulevi mbwa
Umalaya
Manyanyaso ya kihisia ni vitu vinavyofanya mioyo iwe sugu tukinyamaza msidhani ni wajinga
Hili somo kumbe na wewe lilikupita? Ni wanawake 1/1000 ambao wakiwa na kazi wanaweza kushare vipato vyao kwa wanafamilia wote.Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.
Hili somo kumbe na wewe lilikupita? Ni wanawake 1/1000 ambao wakiwa na kazi wanaweza kushare vipato vyao kwa wanafamilia wote.Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.
HahahUkitaka kumsomesha mwanamke labda umsomeshe Qur'an tukufu.
Sio kweli dada yangu, kati ya mia wa hivyo hawazidi wawili, na ukija kuchunguza sana utakuta sababu ilitoka kwa mwanamke.Pia wanaume wakifanikiwa wanaacha ndoa zao:wake zao na kuoa mabinti wadogo
Daah Pole sana Mzee ulipitia magumu.Alifanikiwa kurudi kipindi cha mwanzo mwanzo tu tena akaniletea nyodo hatari stori zake sasa ooh mwaka huu nanunua gari sijui wewe umeshindwa hiki na kile nikitaka tunda anajivutaa nikajisemea hii ngoma ndio imeshavuja hapa...kwakweli haikufika hata mwaka tukabwagana.
Preach brotherMara nyingi viashiria huwa tunaviona toka mwanzo kabisa wa mahusiano ila huwa tunavipotezea.
For the sake of love or beauty .
Hahaa stori zako bwana. Nakuelewa sanaHakuna kipindi nilikonda kama kipindi kile full mawazo alafu ndugu zake wananichora tu kenge wale!
ilibaki kidogo nidondoke nifeee!
Pole sana brother.Wenzako tulioa ndoa halari, mke akaondoka na vitu vyote vya ndani kwenda kusikojulikana mtoto kapeleka kwa mama yake, ndoa haijavunjwa kwa talaka, hapa nawaza sijui nifanye nini ila najijua ipo siku nitaamka na la kufanya kwa sasa ni kama akili imesimama nimezubaa ila sio la kusamehe mtu wala kumrudisha.
Wanawake ni wabinafsi sana tena sanaWanawake wengi wapo na wanaume wasiowapenda ili tu wapate huduma, siku wakijipata wanaenda kutafuta type zao. Pole sana mkuu Kwa kutumika, kuchezewa na kuachwaw
Mkuu ulikaa naye miaka mingapi?Miaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha sasa kipindi chote hicho alikuwa anafanya shughuli ndogondogo tu.
Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.
Picha linaanza kwanza amepangiwa mkoani akili ikacheza mmh nikiwa nipo kwenye dilema ya maamuzi kwao wakawa wapo karibu nae zaidi na wakamwambia aende huko kwa kuwa watoto bado wadogo waende kwa bibi yao yaani mama yake hadi mambo yatakapokuwa sawa kule then awachukue.
Basi mwezi ukaisha mwezi wa pili mara miezi sita nikaanza kuona mapicha picha kwanza sikuwahi kuona hela yake ingawa alikuwa analipwa mara 4 ya mshahara wangu bado nilitakiwa kutuma pesa ya matumizi kwangu hakuwa shida maana naelewa mwanaume ndio mtunza familia kifedha.
Alifanikiwa kurudi kipindi cha mwanzo mwanzo tu tena akaniletea nyodo hatari stori zake sasa ooh mwaka huu nanunua gari sijui wewe umeshindwa hiki na kile nikitaka tunda anajivutaa nikajisemea hii ngoma ndio imeshavuja hapa...kwakweli haikufika hata mwaka tukabwagana.
Hakuna kipindi nilikonda kama kipindi kile full mawazo alafu ndugu zake wananichora tu kenge wale!
ilibaki kidogo nidondoke nifeee!
Kuna mama mmoja mtu wa makamo akanifuata na kuniweka chini kisha akanipa ushauri mmoja wa nguvu sana akaniambia kijana wangu usiwe mnyonge hivyo tafuta mwanamke mdogo na mzuri kuliko mkeo then furahia maisha haya maisha ni mafupi sana na utamsahau.
Kwa kweli namshukuru sana yule mama maana from there maisha yalibadilika taratibu nilianza kumsahau yule mwanamke na mambo yake ingawa bado muda mwingine naumia ila ndio maisha isee
tuishi nao kwa akili!
Kwanini nimeleta huu uzi..?
Nataka vijana wenzangu hasa hawa wadogo ambao wanajianda kuingia kwenye maisha ya familia wawe makini na kujitaidi wajipende na wao wasijitoe sana kwa ajili ya familia zao things change na maumivu utayopitia sio ya kawaida mm nilikuwa najiona mgumu nilikuwa nashangaa wanaume wanaolalamikia wake zao ila yalivyonikuta nilijishangaa najikaza ila uso na mwili vilijionyesha kuwa nipo kwenye maumivu jamani maumivu ya mahusiano hayaelezeki tena kwa sisi ambao tulishakuwa na familia utashangaa chakula hakipiti wala maji hayashuki..kuna bond inayojitengeneza ukishazoea kuwaona watu wako wa karibu kila siku kuitoa hiyo ni ngumu sana yaani kuna muda nilikuwa nikikaa hivi fikra za watoto wangu wapo mbali muda niliopoteza kuwa na mwanamke yule nilikuwa nafamilia ghafla naishi mwenyewe machozi yanatoka yenyewe tu....
Nashukuru sana gospel music inafariji sana.
🤣🤣🤣🤣🤣 Hata uzito!Nina mifano mingi ya ain hii ya wanawake.Hali hii imenifanya nimwogope mke wangu ,kiasi ambacho sitaki anizidi hata uzito!
Kenge nyie ni laana, na wanaume wa JF ndio hao hao wa mtaaniThat's why wanaume wa jf wako harsh mda wote,, kumbe nyuma ya keyboard mambo si mambo,, poleni sana.
Kuna mtu alileta uzi humu akiwananga watu wanaofunga ndoa na kutumia pesa nyingi kwa sababu ya Mwanamke ambaye analiwa na wanaume wengine bure kabisa bila hata shilingi wakamshangaa.Wenzako tulioa ndoa halari, mke akaondoka na vitu vyote vya ndani kwenda kusikojulikana mtoto kapeleka kwa mama yake, ndoa haijavunjwa kwa talaka, hapa nawaza sijui nifanye nini ila najijua ipo siku nitaamka na la kufanya kwa sasa ni kama akili imesimama nimezubaa ila sio la kusamehe mtu wala kumrudisha.