Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Aisee hawa Wanawake hawafai kabisa hasa usipokuwa na kipato na ndio maana nimeamua nijipate niwe na Biashara na Pesa za kutosha ndio niwe na Mwanamke permanent kabisa. Wanaume tunaumizwa sana na hawa Wanawake hasa wakianza kumiliki hela.
 
Kuna watu huwa wanapinga hili....nawachora tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚vipi ushajipata nije au hutaki single maza πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ujipate kiasi gani mkuu??

maana unaweza ukawa umemuacha gap flan kiuchumi ila kesho, keshokutwa akapata pande la kumuingizia mara 5 ya unachoingiza.

maisha ni dynamic mkuu.
 
Pole sana mkuu.
 
Mume wa Mama Samia sijui hili jambo yeye analionaje!
 
😁😁😁
Single Maza namtaka sana sema wewe unayumba sana sijui kwanini, nishajipata aisee next month nasaini dili la 100M usichelewe aisee kuja
siyumbi mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚nije PM nkutongoze sio,,,thubutuuuu🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…