Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Aisee hawa Wanawake hawafai kabisa hasa usipokuwa na kipato na ndio maana nimeamua nijipate niwe na Biashara na Pesa za kutosha ndio niwe na Mwanamke permanent kabisa. Wanaume tunaumizwa sana na hawa Wanawake hasa wakianza kumiliki hela.
 
Dah kuna ujinga mwingi kwa hawa wanawake yaani...mimi manzi yangu alipata kazi nzuri baada ya miaka 3 mapicha yakawa mengi dah nikajiondoa taratibu mpaka siku ananitamkia tuachane tayari nilishamuacha miaka 3 nyuma japo bado ilinichoma.

Mwisho tukubali tu lazima uwe na kipato kuliko mkeo vinginevyo utateseka sana.
Kuna watu huwa wanapinga hili....nawachora tu
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Aisee hawa Wanawake hawafai kabisa hasa usipokuwa na kipato na ndio maana nimeamua nijipate niwe na Biashara na Pesa za kutosha ndio niwe na Mwanamke permanent kabisa. Wanaume tunaumizwa sana na hawa Wanawake hasa wakianza kumiliki hela.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚vipi ushajipata nije au hutaki single maza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Aisee hawa Wanawake hawafai kabisa hasa usipokuwa na kipato na ndio maana nimeamua nijipate niwe na Biashara na Pesa za kutosha ndio niwe na Mwanamke permanent kabisa. Wanaume tunaumizwa sana na hawa Wanawake hasa wakianza kumiliki hela.
Ujipate kiasi gani mkuu??

maana unaweza ukawa umemuacha gap flan kiuchumi ila kesho, keshokutwa akapata pande la kumuingizia mara 5 ya unachoingiza.

maisha ni dynamic mkuu.
 
Miaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha sasa kipindi chote hicho alikuwa anafanya shughuli ndogondogo tu.

Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.

Picha linaanza kwanza amepangiwa mkoani akili ikacheza mmh nikiwa nipo kwenye dilema ya maamuzi kwao wakawa wapo karibu nae zaidi na wakamwambia aende huko kwa kuwa watoto bado wadogo waende kwa bibi yao yaani mama yake hadi mambo yatakapokuwa sawa kule then awachukue.

Basi mwezi ukaisha mwezi wa pili mara miezi sita nikaanza kuona mapicha picha kwanza sikuwahi kuona hela yake ingawa alikuwa analipwa mara 4 ya mshahara wangu bado nilitakiwa kutuma pesa ya matumizi kwangu hakuwa shida maana naelewa mwanaume ndio mtunza familia kifedha.

Alifanikiwa kurudi kipindi cha mwanzo mwanzo tu tena akaniletea nyodo hatari stori zake sasa ooh mwaka huu nanunua gari sijui wewe umeshindwa hiki na kile nikitaka tunda anajivutaa nikajisemea hii ngoma ndio imeshavuja hapa...kwakweli haikufika hata mwaka tukabwagana.

Hakuna kipindi nilikonda kama kipindi kile full mawazo alafu ndugu zake wananichora tu kenge wale!
ilibaki kidogo nidondoke nifeee!

Kuna mama mmoja mtu wa makamo akanifuata na kuniweka chini kisha akanipa ushauri mmoja wa nguvu sana akaniambia kijana wangu usiwe mnyonge hivyo tafuta mwanamke mdogo na mzuri kuliko mkeo then furahia maisha haya maisha ni mafupi sana na utamsahau.

Kwa kweli namshukuru sana yule mama maana from there maisha yalibadilika taratibu nilianza kumsahau yule mwanamke na mambo yake ingawa bado muda mwingine naumia ila ndio maisha isee
tuishi nao kwa akili!

Kwanini nimeleta huu uzi..?
Nataka vijana wenzangu hasa hawa wadogo ambao wanajianda kuingia kwenye maisha ya familia wawe makini na kujitaidi wajipende na wao wasijitoe sana kwa ajili ya familia zao things change na maumivu utayopitia sio ya kawaida mm nilikuwa najiona mgumu nilikuwa nashangaa wanaume wanaolalamikia wake zao ila yalivyonikuta nilijishangaa najikaza ila uso na mwili vilijionyesha kuwa nipo kwenye maumivu jamani maumivu ya mahusiano hayaelezeki tena kwa sisi ambao tulishakuwa na familia utashangaa chakula hakipiti wala maji hayashuki..kuna bond inayojitengeneza ukishazoea kuwaona watu wako wa karibu kila siku kuitoa hiyo ni ngumu sana yaani kuna muda nilikuwa nikikaa hivi fikra za watoto wangu wapo mbali muda niliopoteza kuwa na mwanamke yule nilikuwa nafamilia ghafla naishi mwenyewe machozi yanatoka yenyewe tu....
Nashukuru sana gospel music inafariji sana.
Pole sana mkuu.
 
Dah kuna ujinga mwingi kwa hawa wanawake yaani...mimi manzi yangu alipata kazi nzuri baada ya miaka 3 mapicha yakawa mengi dah nikajiondoa taratibu mpaka siku ananitamkia tuachane tayari nilishamuacha miaka 3 nyuma japo bado ilinichoma.

Mwisho tukubali tu lazima uwe na kipato kuliko mkeo vinginevyo utateseka sana.
Mume wa Mama Samia sijui hili jambo yeye analionaje!
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Single Maza namtaka sana sema wewe unayumba sana sijui kwanini, nishajipata aisee next month nasaini dili la 100M usichelewe aisee kuja
siyumbi mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nije PM nkutongoze sio,,,thubutuuuu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom