masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Pia wanaume wakifanikiwa wanaacha ndoa zao:wake zao na kuoa mabinti wadogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli.Mara nyingi viashiria huwa tunaviona toka mwanzo kabisa wa mahusiano ila huwa tunavipotezea.
For the sake of love or beauty .
***** zake huyo mwanamkewapi yupo tu huwa anapiga simu eti amenimic namwitikia tu alafu nampotezea kabisa!
Hii ndio point, kamata ua, nyonya nekta halafu sepaaaaa kabla halijawa chungu.Hamuwezi kutuchukia sisi ni maua
Braza mimi nina story kabisaa za ushahidi juu ya wachungaji wanaogongewa wake zao...!!!Kijana "Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zilizo mbaya"
Kataa ndoa mna point 3 mkononi
min -me na genge lako
Asante wajumbe.KATAA NDOA WANAZIDI KUCHUKUA POINT
😀 😀Familia unayojenga unategemea ikupe furaha halafu inadilika kuwa karaha.Haya mambo haya yanapendeza kusimuliwa tu hivi kwa wenzako......usiombe yakukute......ni mazito...............
Mdogo wangu nakumbuka yalipomkuta alikuwa anashinda chooni kutwa kama mende......hata chakula hali anasema hakina ladha.......
Ila mapenzi hayana baunsa......ukiwa hujaingia kwenye kumi na nane unaweza ukaongea mengi sana ya kejeli na dharau........
Baba yangu mdogo alikuwa anaongea sana shombo.....siku aliyokimbiwa na mkewe ndio nikajua haya mambo hayana mwenyeji......
Alikuwa anashinda ukweni anaomba msamaha mpaka usiku analala kibarazani kama mlinzi........dah!!
Haya mambo haya.....huwa yanaanza kama utani vile.....
Inauma sana , maisha yanaendeleaExperience yangu hata umfanyie wema gani atakuacha tu..
Arusha 2014 jirani yangu alikuwa anafanya kazi taasisi fulani, financially alikuwa yuko poa sana. Kulikuwa kuna binti alikuwa anakuja kwake mostly on weekends... Siku ndo akani tambulisha hii ni pisi yake ila inasoma mkoa x chuo kikuu mwaka wa pili... Miaka ikaenda ile pisi ikawa haionekani kumbe ilikuwa chuo.
Mambo yakaenda vibaya kwa yule dada alifeli chuo so hakuweza kumaliza chuo. familia ikamtema mazima kwamba atajua na maisha yake. Familia ilienda mbali na kumuambia pesa walizo nazo niza kusomesha wadogo wa yule binti. So binti akamshirikisha boyfriend wake ambaye ni jirani yangu. Jamaa akamuambia aje tu maana hata kwenda nyumbani aliogopa.
Basi jamaa kwa kujua one day in this life atakuwa mke wake, akalibeba lile jambo na kuamua kumpeleka chuo kikuu kimoja kiko Arusha, alim somesha, chakula, mavazi yaani kwa kifupi alikuwa mzazi na boyfriend at once. akawa anaenda chuo for all the three years tumekaa nae pale, ila this time alitoboa graduation kila kitu fresh. Walikuwa poa sana kiukweli, ilikuwa ni couple moja strong sana ile unajua demu aki graduate wanafunga ndoa.
Demu aliendelea kukaa pale hadi akapata nafasi katika kampuni flani hivi alianza kwa kujitolea baadae akapata ajira ya kudumu, ila kupatikana hii kazi ni kwa juhudi za huyu mwamba. sijui salary yake but alikuwa ana safiri sana. Matatizo ndo yakaanza kule ndani. Demu alikuja kubadilika ndugu zangu siyo poa, kama mara tatu wameshikiana visu mule ndani, alikuja kumuacha mwamba kama hamjui and familia ikamuambia arudi nyumbani huyo jamaa siyo mume wake.
Jamaa alifanya attempt kama mbili za kutaka kujiua, alikuja kuwa mtu wa pombe sana, sigara nyingi sana (wakati hakuwa mnywaji kivile, wala mvutaji wa sigara) alikuja kukonda, kwenda job late, ananukia na pombe, kwa kifupi aliyumba sana ile kampuni ilijaribu kumbeba sana because bosi pia alijua what he was going through. Alivyoachishwa kazi akaja kuniaga akarudi kwao. That brother he was torn apart because of love. he couldn't take it anymore... Dada yake alikuja kunipigia March 2023 the brother died. Yule dada yupo tu huwa namuona mjini na life lake tu.
Kwa kifupi after that scenario nimeona unaweza ukaigiziwa maisha vizuri tu, riziki ikapatikana zaidi kwa mke au mpenzi wako hamuwezi toboa tena...! Dharau zitaanza tu kama hiyo pisi ilishamrudia jamaa na lovebite. . . !
😁😁😁Nina mifano mingi ya ain hii ya wanawake.Hali hii imenifanya nimwogope mke wangu ,kiasi ambacho sitaki anizidi hata uzito!
HakikaWanawake wengi wapo na wanaume wasiowapenda ili tu wapate huduma, siku wakijipata wanaenda kutafuta type zao. Pole sana mkuu Kwa kutumika, kuchezewa na kuachwaw
Duh sababu ilikua nini ugomvi wa mapenzi au mali?Wanaume tunapitia mengi.
Hongera kwa kumsahau.
Mshikaji wangu yeye alilishwa sumu na mke wake.
Ilibaki kidogo tumpoteze mwamba. Engineer kabisa.
Washukuriwe madokta wa pale Aghakan.
Waliokoa maisha ya mshikaji last minute kabisa.
Leo nimemwona jamaa nikakumbuka aliwahi kuchungulia kifo live live
Asante saana.That's why wanaume wa jf wako harsh mda wote,, kumbe nyuma ya keyboard mambo si mambo,, poleni sana.