Niliwahi kutumia usafiri wa umma jijini na kukutana na matukio kama hayo:
1. Nilipanda mwendokasi toka gerezani kwenda Kimara...gari ilikuwa nyomi ...mbele yangu alikuwepo mdada kajaziajazia. Sasa akawa ananitingishia mtrako wake...nikisogea nyuma naye ananifuata...ilikuwa tafrani
2. Mmoja kwenye daladala alihakikisha anajisugulisha kwenye mguu wangu