Maybe hakujiandaa ama kufahamu vitu vidogo kama hivyo ni lazima,,Ndio tena degree
Tumtakie kila la khery naamini atazidi kutia bidii kwenye taaluma yake, ili wakati mwingine awe na nafasi kubwa ya kushinda, ikawe kheri kwake, AmenKabisa
Ok wewe mjuvi Leta jibu hapoKuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international curriculum.
Akajibu “yes.” Wakamuuliza tena aseme specifically, “Which curriculums can you teach?”
Akajibu, “O-Level and Advanced Level.”
Labda wewe ndio umemtamkia "kulikuli"Kuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international curriculum.
Akajibu “yes.” Wakamuuliza tena aseme specifically, “Which curriculums can you teach?”
Akajibu, “O-Level and Advanced Level.”
Kabisa mkuu watu wapewe nafasiHaya mambo ya kawaida, kuna baadhi ya vitu tukiwa chuo huwa tunameza kama vilivyo.
Ukifika kazini sasa ndo unaona implications zake, uzoefu na mafunzo kazini huwa unaboost sana utendaji bora wa kazi wa watumishi wengi.
Mbona yuko sawa