Leo nimekutana na graduate wa ualimu asiyejua maana ya curriculum

Leo nimekutana na graduate wa ualimu asiyejua maana ya curriculum

Yupo sawa shida ipo kwako.!
Tanzania tuna curriculum mbili yaani shule primary na secondary ukijumlisha na advanced level.

Sasa sio kosa lake sababu hata huko vyuoni wanapewa training kufundisha curriculum za primary au secondary level kosa lake liko wapi?

Inatakiwa vyuoni waanze kuleta programme mpya itakayofundisha hizo curriculum za nje kama Cambridge syllabus nk.

Chuoni walimu wanasoma kuhusu mifumo ya elimu nchi mbalimbali kwa juu juu tu sio kiundani sana .

Wewe ndiyo ujirekebishe
 
Hayuko sawa, amaulizwa international curriculum. Alitakiwa kutaja curriculum kama:
International Baccalaureate (pyp, myp, na IBDP), cambridge curriculum n.k

The Internat
Sasa hizo chuo gani walimu wanafundishwa Tanzania hii?
Labda kama alisoma nje huko na ndiyo maana sio ajabu hizo shule zao huwa wanaleta walimu wazungu au wahindi
 
Kuna dogo alikua anapiga sana theory pale chuo...
Sasa bana tukapangiwa field sehemu moja...
Daaah jamaaa alikua shallow kinoma an hamna kitu kabisa, hamna kazi kabisa aiseee jamaaa adi nikawa mimi ndo namsaidia wakati ki chuo chuo jamaa alikua anaongoza GPA kali...

Ila mpaka sasa huwa ananicheki ana nipa vyeo vyangu...
Ananipa vyeo kama anavyonipa Vishu Mtata baada kusikia nakula sana mashangazi
Nani anakupa vyeo bwanamdogo?? Mi sikupi vyeo kwa hizo tabia mbofumbofu alaa
 
Sasa hizo chuo gani walimu wanafundishwa Tanzania hii?
Labda kama alisoma nje huko na ndiyo maana sio ajabu hizo shule zao huwa wanaleta walimu wazungu au wahindi
Vyuoni hawafundishi hizi international curriculum, ila sasa kama taifa ilitakiwa kuanza kufundisha hizi program ili kupambana na soko la kielimu la kidunia.
 
Back
Top Bottom