Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Sasa hizo chuo gani walimu wanafundishwa Tanzania hii?Hayuko sawa, amaulizwa international curriculum. Alitakiwa kutaja curriculum kama:
International Baccalaureate (pyp, myp, na IBDP), cambridge curriculum n.k
The Internat
Nani anakupa vyeo bwanamdogo?? Mi sikupi vyeo kwa hizo tabia mbofumbofu alaaKuna dogo alikua anapiga sana theory pale chuo...
Sasa bana tukapangiwa field sehemu moja...
Daaah jamaaa alikua shallow kinoma an hamna kitu kabisa, hamna kazi kabisa aiseee jamaaa adi nikawa mimi ndo namsaidia wakati ki chuo chuo jamaa alikua anaongoza GPA kali...
Ila mpaka sasa huwa ananicheki ana nipa vyeo vyangu...
Ananipa vyeo kama anavyonipa Vishu Mtata baada kusikia nakula sana mashangazi
Ahahahah kazi kujirekodi tuu...Nani anakupa vyeo bwanamdogo?? Mi sikupi vyeo kwa hizo tabia mbofumbofu alaa
Vyuoni hawafundishi hizi international curriculum, ila sasa kama taifa ilitakiwa kuanza kufundisha hizi program ili kupambana na soko la kielimu la kidunia.Sasa hizo chuo gani walimu wanafundishwa Tanzania hii?
Labda kama alisoma nje huko na ndiyo maana sio ajabu hizo shule zao huwa wanaleta walimu wazungu au wahindi