Sio magharibi tu, unajua wanyama wanaowindwa kwenye vitalu vya mbuga zenu mnapata nini? Unafahamu sababu hata ya magu kusema bucha za nyama pori walau wananchi wawe wanauziwa mara moja kwa wiki ilitokana na manyati, swala, kwenda kuliwa mbali wakati wenye nchi hawajawahi hata kuonja nyamapori, unajua kwenye gesi ya mtwara unapata nini? Unajua ngorongoro na loliondo kwa nini wenyeji hufukuzwa unadhani ni kukuza utalii? Same like hiyo bandari yako unadhani tutanufaika kama inavohubiriwa? Unajua pesa nchi inayopata kwenye migodi ya dhahabu ambayo tunaachiwa mashimo? Hali ya dunia ya mabepari haijawahi kua na huruma na mtu mweusi haitokuja itokee bepari alikuachia uhuru wa bendera lakini sio uhuru wa kiuchumi,