4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
Km kila kitengo watu wanaweka ela mfukoni basi hata mshikwe makalio hamuend popoteHamna bana jamaa yuko deep sana halafu ni msomi na umri umeenda nadhani early 50s yuko ulaya toka 1994 anaondoka na kurudi.
Europe is turning right. Mahafidhina yanachukua mamlaka na hayatupendi.
Mfano Sweden ilikuwa very welcoming l. Sasa hivi its turning right. Denmark kama kawaii toka zamani wanabana.
Kwa jinsi tulivuo inabidi kuanza kwa kushikwa mkono na kupigwa tafu. Kumbuka hawa weupe toka karne kadhaa walikuwa na wameendelea