Km kila kitengo watu wanaweka ela mfukoni basi hata mshikwe makalio hamuend popoteHamna bana jamaa yuko deep sana halafu ni msomi na umri umeenda nadhani early 50s yuko ulaya toka 1994 anaondoka na kurudi.
Europe is turning right. Mahafidhina yanachukua mamlaka na hayatupendi.
Mfano Sweden ilikuwa very welcoming l. Sasa hivi its turning right. Denmark kama kawaii toka zamani wanabana.
Kwa jinsi tulivuo inabidi kuanza kwa kushikwa mkono na kupigwa tafu. Kumbuka hawa weupe toka karne kadhaa walikuwa na wameendelea
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Makaron ni bladifaken,shubamit,kitenes hovyo kabisaaaaaaa
Kwa Nigeria kutoboa lzm uwe na akili kubwa sio km bongolala unaweza toboa kirahisSijachanganya Mkuu, naelewa vizuri sana. Maana kuna wabongo huwa wanadhani hata Nigeria mambo mazuri, kumbe maisha yako ni mtiti kwelikweli
Inakuwaje mim nakula msoto licha ya majaribio mengi tu ninayofanya???Kwa Nigeria kutoboa lzm uwe na akili kubwa sio km bongolala unaweza toboa kirahis
Mrusi hana njaa na ghafi. Na afrika ni tajiri wa ghafi. Nadhani umenielewa. Mrusi ye anachotaka ni kuungwa mkono tu. Yaani muonekane mko na yeye basi. Mnakula mema ya nchi. Kama ni mwanamke anataka tu mapenzi ya kweli siyo pesaTatizo la mwafrika ni akili, leo hii anamfukuza Mfaransa utaskia kamkaribisha Mrusi, kumbe wote ndio walewale tu. Binafsi simwamini mtu mweupe wa aina yoyote ile kwenye biashara na mtu mweusi.