Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

Duh !, ikawaje mh.
Ujue Kuna watu wanachukulia poa haya mambo. Wewe ndugu naona kuuliza kwako kulikukusaidia kidgo .
Ok... nilikuwa nimechoka....
Sasa ikabidi twende kwa huyo tajiri.., hapo tuko watatu mimi ndo mdogo niko form three hapo... Wengine age yao around 27 hivi... Halafu ni usiku kama saa mbili kasoro nikapewa mimi mzigo maana jamaa yule aliogopa kuubeba... Alisema kuna mwingine aliwaonesha boda wakapita nao alikuwa nato tuwili...njiani wakati tunaenda akili iko junction nawaza nikipata hiyo heka naifanyia nini? Nyingine inanisanua hii dili ikifeli nitajuta sana.. Nyingine mzigo ninao mimi sasa hapa nikufanya namna nichukue kidogo nipite hivi. Hapo nimewekwa mtu kati hakuna kukimbia... Nikakumbuka tamaa mbele mauti nyuma hawa jamaa ni kama siwaelewi kwanini mipango yao haipingani hata kidogo.... Nikawaambia oy nyie nendeni mimi bado nasoma... Jamaa wakareact et dogo acha ujinga utajiri ndio huu mhh... Nikaachananao
 
Duh , kaka naona uliwahi kushtukia hilo jambo mapema, hawo washenzii wangenda hata kukutoa kafara. Maana wanajua ulikuwa auna Cha kuwapa.
 
Duh , kaka naona uliwahi kushtukia hilo jambo mapema, hawo washenzii wangenda hata kukutoa kafara. Maana wanajua ulikuwa auna Cha kuwapa.
Hakika tena kama issue hizi za dhahabu matambiko ni lazima., ila nishakutananao wawili tena wa hivihivi...wakiniuliza nawajibu tu... sijui usemalo naangalia na pembeni huyo....
 
Hakika tena kama issue hizi za dhahabu matambiko ni lazima., ila nishakutananao wawili tena wa hivihivi...wakiniuliza nawajibu tu... sijui usemalo naangalia na pembeni huyo....
😂😂😂, kwa sasa nadhani hata mm nitakuwa makini.... Maana sometimes sisi Wanaume tunakawaida ya kupuuzia mambo sana.
 
ukiwa ni mtu wa tamaa sana ni rahisi sana kutapeliwa..maana hao watu wanatumia tamaa yako kukutapeli.
 
Mi mwenyewe Dodoma hapo hapo nusu nitapeliwe hivyo hivyo, waliiba simu ya rafiki yangu wakawa wanatuma meseji.
 
Hapo ungekuja kupiga kwenye Pesa ya usafiri.. yaani jamaa wangekuambia dereva ameshapakia mzigo, ila tajiri yake anataka advance ili hairuhusu gari liweze kwenda hiyo safari + Pesa ya mafuta ya safari..

Wakati huohuo simu ya rafiki yako aliyekupa mchongo zitakuwa zinaita sana, akiulizia umefikia wapi? Na huyo aliyekupa deal za pump naye atakuwa akipiga simu sana kujua umefikia wapi pia!! Hizo simu zao, zitakufanya hukose muda wa kufikilia vizuri, na wakati huo tamaa ya mgao ikiwa Juu sana kwenye Akili yako. Ukishindwa kuchanganya vizuri ndo unapigwa Sasa..

Me nilikutana nao 2017, ila wao Ilikuwa mambo ya wazungu airport, Vinyago na michoro ya picha, bagamoyo kaole😀😀😀.

Mara wazungu ndege inaondoka saa Moja na nusu lijalo, wanasubiria huo mzigo.. Ila nilichekecha vizuri nikagundua hapa naenda kupigwa
 
Kwa hiyo ndiyo hivyo umemaliza kunywa "kyai" yako? Au iliishapoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…