Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

Mzee Mabuha,hahaha huwa wanapenda kutumia majina kama ya kisukuma ili kuzubaisha
 
Utapeli wa kizamani huo dogo,utapigwa tukio na utapeli Mpya Hadi akili zitakaa sawa.

Ukiona maelezo meeengi hapo unajiandaa kupigwa 😂😂

Hakunaga pesa ya mseleleko utakuja kufunuliwa kizibo
 
Usingeweza ila kuna hatua ungeambiwa utume hela ili kushikilia mzigo usiuzwe. Kiwango ungeambiwa milioni au uliyonayo mpaka laki wanachukua kisha wanapotea. Kuna jamaa alipigwa laki na 75 elfu.
Kibaya zaidi alikua Hana hata pesa ya kula hivyo basi angelazimika kuuza kitu au kwenda kukopa sehemu ili kushikilia mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…