Leo nimelambwa kibuti, umbea umeniharibia penzi

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Kiukweli mpenzi wangu nilimpenda bali nilikuwa mbali naye. Ila nilichogundua sikuwa serious basi Leo kaenda na kilichoniponza ni kuwa humu nachat chat umbea, na umbea huu umeniharibia penzi la kudumu.

Ila kwangu ni poa sina cha kufanya huenda hakuwa wangu alikuwa wajirani. Ila Mungu yupo nitaolewa na huyu mpakistani tu sina jinsi nilichezea dodo lililoiva na kudondokea kwangu nipo serious nilimpenda.

Ila kwa leo nimelimwa rato, Sasa mie single tena kwa hapa Tanzania

Nashangaa tu.

Nahesabu mabati.
 
Sasa hiyo nafasi nipigie yangu kuanzia leo. πŸ€—πŸ€—
 
Humu nilikuwa double
Una miaka mingapi? Kuna jamaa anatafuta mwanamke wa kuoa ila vigezo awe na elimu ya Diploma na umri usiozidi miaka 32.

Kama unataka mahusiano ya ndoa ni-PM nikuunganishe naye. Kama ni mahusiano ya kimapenzi mtafute Madenge Twitter.
 
Hayo ni ya kawaida ,ss iv n piga nikupige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…