Leo nimelambwa kibuti, umbea umeniharibia penzi

Wanakuja PM aiche wazi..[emoji1786]
 
Nilikuwa nashangaa una umbea mbea mwingiiii ona sasa ila uzuri umekuwa muelewa sana wapo ambao huwa hawaelewi waliangukia wapi.
Nitaanza kuchungulia tena nikona badiliko na come mazima
 
Naanza upya ila hakuna shida yote lifee
 
Nilikufuataga pm na ukanipiga chini
Vipi nirudishe majeshi tena?
 
Back
Top Bottom