Leo nimelambwa kibuti, umbea umeniharibia penzi

Kiukweli mpenzi wangu nilimpenda bali nilikuwa mbali naye. Ila nilichogundua sikuwa serious basi Leo kaenda na kilichoniponza ni kuwa humu nachat chat umbea, na umbea huu umeniharibia penzi la kudumu.

Ila kwangu ni poa sina cha kufanya huenda hakuwa wangu alikuwa wajirani. Ila Mungu yupo nitaolewa na huyu mpakistani tu sina jinsi nilichezea dodo lililoiva na kudondokea kwangu nipo serious nilimpenda.

Ila kwa leo nimelimwa ratoo.
Sasa mie single tena kwa hapa Tanzania
Nashangaa tu.
Nahesabu mabati.
Hata huu ni UMBEA!
 
Sasa shoga na wewe...ukipendwa unaanzisha uzi,ukipenda unaanzisha uzi,ukipigwa kibuti unaanzisha uzi..unanivuruga ujue😁...

Haya tuachane ni hilo!buti hilo ni la Jeje au la Jeshi!
La jeshi
 
Woi huku siwezi Leta bango la kutafuta mpenzi aiseh..
Mlioko mtaani si ndio mpo huku😁😁tutapambana na wa mtaani hakuna namna
Ni kweli eti sasa humu hamuonani na pia mnaanza mahusiano hewa
 
Kiukweli mpenzi wangu nilimpenda bali nilikuwa mbali naye. Ila nilichogundua sikuwa serious basi Leo kaenda na kilichoniponza ni kuwa humu nachat chat umbea, na umbea huu umeniharibia penzi la kudumu.

Ila kwangu ni poa sina cha kufanya huenda hakuwa wangu alikuwa wajirani. Ila Mungu yupo nitaolewa na huyu mpakistani tu sina jinsi nilichezea dodo lililoiva na kudondokea kwangu nipo serious nilimpenda.

Ila kwa leo nimelimwa rato, Sasa mie single tena kwa hapa Tanzania

Nashangaa tu.

Nahesabu mabati.
Huyo mpya ni jamii ya Pashtun ?
 
Pole
 
Inaonekana una nyota ya vibuti! Hata huyo atakupa kibuti tu I hope
 
Kiukweli mpenzi wangu nilimpenda bali nilikuwa mbali naye. Ila nilichogundua sikuwa serious basi Leo kaenda na kilichoniponza ni kuwa humu nachat chat umbea, na umbea huu umeniharibia penzi la kudumu.

Ila kwangu ni poa sina cha kufanya huenda hakuwa wangu alikuwa wajirani. Ila Mungu yupo nitaolewa na huyu mpakistani tu sina jinsi nilichezea dodo lililoiva na kudondokea kwangu nipo serious nilimpenda.

Ila kwa leo nimelimwa rato, Sasa mie single tena kwa hapa Tanzania

Nashangaa tu.

Nahesabu mabati.
Usijali hakuwa wako, ukitaka abaki kwako hata uwe mmbea kiasi gani mpe mistyle yotee hadi asahau kwao,. Kwanza mpe massage ya mbupu kwa ulimi hadi awe anagunaguna akiwa anamwaga utee, mnyonye vzr hadi uone kama anainua kiuno, tatizo ulikuwa unamchukulia kawaida,. Ukipata chance nyingine nishitikishe nikupe mbinu za kitalibani rafiki, sex ni ubunifu lazima uwe msanii ili ukitoka hapo akukumbuke ashindwe hata kufanya kazi, nipo nimekaa pale nakusubiri nikupige msasa uende ukafanye kwa vitendo
 
Back
Top Bottom