Haya poleWewee miye nina majonzi so usinitanie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Hili ni tangazo la kimkakati"
View attachment 1926686
Haya sawa yote maishaKwa niaba ya wahuni tumekupata
SijuiiWanakuja PM aiche wazi..[emoji1786]
Mi nasubiria lako mwaka wa tatu huu..!Shogaa usiniambie unatoa tangazo kiaina [emoji2935][emoji2935][emoji2935]
Nimelimwa kibuti na ndio tegemeo languu .Shogaa usiniambie unatoa tangazo kiaina 🤛🤛🤛
Naanza upya ila hakuna shida yote lifeeNilikuwa nashangaa una umbea mbea mwingiiii ona sasa ila uzuri umekuwa muelewa sana wapo ambao huwa hawaelewi waliangukia wapi.
Nitaanza kuchungulia tena nikona badiliko na come mazima
Siwezi cause nipo kwenye stressWakubwa tumekuelewa,
Toa namba ya simu
Lol
Good. Kuna dalili ya compliment. Yaani mtu anayejua aanze upya ni wife materialNaanza upya ila hakuna shida yote lifee
Kidume hichoNjoo PM Mrembo,
Woi huku siwezi Leta bango la kutafuta mpenzi aiseh..Mi nasubiria lako mwaka wa tatu huu..!
Sasa shoga na wewe...ukipendwa unaanzisha uzi,ukipenda unaanzisha uzi,ukipigwa kibuti unaanzisha uzi..unanivuruga ujue😁...Nimelimwa kibuti na ndio tegemeo languu .
Nipo serious