Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

BREAKING BAD ndo series bora zaidi kuwahi kuitazama toka nije huku duniani.
Dark comedy..
Chemistry.

Hii series nilianza kuicheki for the first time in my life nikamaliza season 1 within a one night.

Kazi nzuri sana ya fasihi.

Now naitizama NARCOS ya Pablo Escobar.
 
Back
Top Bottom