Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

“You clearly don’t know who you’re talking to, so let me clue you in. I am not in danger, Skyler. I am the danger. A guy opens his door and gets shot, and you think that of me? No! I am the one who knocks!”
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Breaking Bad ni series bora kabisa labda ikifuatiwa na Game of Thrones
 
Sasa ni muda wa kutazama HOMELAND, very comprehensive TV show .
Uzuri wa homeland upo wapi pamoja na uvumilivu wangu sijawahi fanikiwa kuimaliza.
Breaking bad nimesha icheki na kuirudia. Ni nzuri na hilo halina ubishi
 
Breaking Bad ni series bora kabisa labda ikifuatiwa na Game of Thrones
Game of throne ina mauchawi na manguvu ya asili? Kama ndivyo kwangu haina nafasi
 
Utopolo ule haki ya nani nimejuta huwezi kuangalia drug related series alafu iwe vile watafute wazee wa South
 
Back
Top Bottom