Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

Narcos iko poa pia, Ila tangu wamuue Pablo Escobar nimeacha kuangalia.
 
Umesema ukweli mtupu mkuu
Breaking bad is the best ever tv show
 
View attachment 2280043Angalia Game of throne na uilewe ,ndipo utajua GOT ni tv show nzuri tangu kuumbwa kwa Adamu.

Game of throne ni nzuri kama ujaangalia BREAKING BAD.
Ila BB ni moto wa kuotea mbali.
Ni series ambayo haitumii nguvu nyingi kuielewa ila inachekesha sana,inasikitisha ina mkono,usaliti...

Utakutana na wakili mkongwe mjanja mjanja Saul Godmann...mpe case yoyote anachomoa.

Walter White ndo geniius,mwalimu lakini ni ana sura mbili.
 
Gustavo Fring nafikiri ni bonge moja la mafia...sura ya upole ila mafia sana
 
Noma na nusuu hiyo ni zaidi ya aeries aisee...!!
 
Ndio namba moja yangu hiyoo... Hilo dude ni hatariii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…