Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

Got haina uhalisia kama BB.
Bro Game of throne walio wengi Huwa hawaielewi lakini Kwa walio ielewa ni TV SHOW Kali sana sana. For now naangalia BREAKING BAD lakini sijaona chochote Cha special mpaka Sasa nimemaliza season 1.
 
Umechelewa sana mkuu.. natamani ningekuwa wewe maana nw ni marudio tu
 
Toka nije huku duniani
Kwani ulikuwa wapi 😂😂🤣🙌
 
Narcos ni kali?? Mi nnayo ila nmeshindwa kuiangalia kila nkianza nasinzia
 
Bro Game of throne walio wengi Huwa hawaielewi lakini Kwa walio ielewa ni TV SHOW Kali sana sana. For now naangalia BREAKING BAD lakini sijaona chochote Cha special mpaka Sasa nimemaliza season 1.
Endelea tu mkuu. Breaking Bad inaanza slow, lakini kadri unavyoendelea ndio inavyokuwa kali. Hata mimi nilipata shida nilipoanza S1, lakini nilivyozidi kwenda nayo niliifurahia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…