Leo nimemfumania live bila chenga

Leo nimemfumania live bila chenga

Acha uchoyo naww kizuri kula na ndguyo. Kwan kaimaliza mashine dada wa watu? Si amekunwa kidogo na amekuachia naww?

Wanawake mbona wachoyo mnataka mule peke yenu? Haa!
yan wewe
 
Sitetei hiko kidume
lakini naona amejikuta katika mazingira magumu
wewe anakuhitaji for future
lakini at the moment anahitaji mtu wa kumpikia na kumuandalia vitu asubuhi
na kumtoa uchovu usiku.....

huku wewe unakuja asubuhi na mnaendelea na mipango ya future...
mwenzio hana ofisi ya kwenda so kampa ubize wa kiaina...
huku wewe anakusubiri for future

umeongea kweli tupu. Nini yeye kilimzuia kwenda kumpikia na kumuandalia maji ya kuoga mme wake?

Hakuna kitu kina kera kwa mwanaume umetoka kazn, unatakiwa uoshe vyombo na upike. Kero iko hapo
 
tatzm mkiwa nacho mnajisahau namna ya kukitunza ndio maana tunaamua kutafuta kipya kinyemi.

Hamna hata kipya kinyemi wala nini hapa nilipo nna maumivu ya moyo karibu mwezi mzima, unampenda mtu unamthamini kwa kila kitu na bado mnafanya kazi ofisi moja anatongoza wengine inaumiza sana sijui kwann Hamna ubinadamu, bora umwambie mtu kama umuhitaji tena kuliko kumuumiza bila sababu
 
mapenzi yanaumiza sana kwa kweli ILA hatukomi kabisa.

pole sana
 
Pole bi dada na hongera pia kwa ustarabu
 
hayo yategemeee sana bidada cha muhimu uvumilivu ingawa inauma kiaina ila usichukulie mapenzi jambo la muhimu saaaaana utachoka mapema
 
Hamna hata kipya kinyemi wala nini hapa nilipo nna maumivu ya moyo karibu mwezi mzima, unampenda mtu unamthamini kwa kila kitu na bado mnafanya kazi ofisi moja anatongoza wengine inaumiza sana sijui kwann Hamna ubinadamu, bora umwambie mtu kama umuhitaji tena kuliko kumuumiza bila sababu

aisee pole sana. Njoo pm nikupe mbinu dawa yetu ni ndogo mno
 
Njoo kwangu utapata faraja ya milele
 
Kikawaida huwa mnapitiana asubuhi mnaenda wote job..... Kwa hiyo alijua kabisa kuwa hiyo asubuhi utapita hapo nyumbani kwake na still akalala na mdada mwingine. Mmmh Okkk
Ila nimependa tu hapo ulivyojikausha bila kuleta fujo, kugombana kisa kimwanaume mfyuuuu
 
umeongea kweli tupu. Nini yeye kilimzuia kwenda kumpikia na kumuandalia maji ya kuoga mme wake?

Hakuna kitu kina kera kwa mwanaume umetoka kazn, unatakiwa uoshe vyombo na upike. Kero iko hapo

huwa najitahidi kumfanyia vyote hivyo na hata Jana nlitaka nkafanye usafi bt a akachenga chenga kunipa funguo kumbe ndo alikua na miadi na kile kibinti
 
wanaume ndivyo tulivyo. tunataka mupya kila uchao. ukipita mara moja au mbili unataka mwingine. Tatizo wazuri mpo wengi sana. na sisi tunatamaa ya kula kila kizuri kipitacho. pole sana. huwezi pata wa kwako peke yako. utapata anaejua kuficha nyendo zake. huo ndo ukweli
 
Back
Top Bottom