Leo nimemkumbuka member wa JF Folk (RIP)

Leo nimemkumbuka member wa JF Folk (RIP)

“[Yesu]Akawaita mkutano pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, Mtu ye yote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe, ajitwike na msalaba wake, anifuate.

Kwa kuwa mtu atakaye kuiponya nafsi yake, ataiangamiza, na mtu atakayeiangamiza nafsi yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya Injili, huyu ataisalimisha.

Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? Maana kila mtu atakayenionea haya mimi, na maneno yangu, katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu atamwonea haya mtu huyo, atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.”
‭‭Mk‬ ‭8:34-36, 38‬
 
Duniani tunapita na tuna maisha baada ya hapa. Huwa inasikitisha watu wanachukiana na kutukanana as if hizo siasa zina msaada sana. Katika kuhangaika na ubatili wetu hapa duniani tusisahau kuna siku ya kutoa hesabu mbele yake aliyetuumba.

Kwa hiyo wakati tunatafuta kufurahia maisha ya ubatili na taabu tuliyopewa chini ya jua, tumkumbuke Muumba wetu, haswa siku za ujana wetu. Bwana Yesu atusaidie sana kutengeneza maisha ya kumpendeza Mungu kwanza na kisha wanadamu na baadaye tupate kufurahia maisha naye baada ya maisha haya yenye ubatili mwingi!
 
Dogo unatoa chozi kizembe wakati sisi wote njia ni hiyo hiyo moja?

Unatakiwa umfurahie kaenda kupumzika. Wakuwatolea chozi ni sisi tulio Hai ambao tunapitia mateso, magonjwa, uonevu, unyanyasaji.
Kwa aliyeamua kujikatia tiketi ya mbinguni mida hii hatamani wala kukumbuka taabu za huku duniani. Ila kwa aliyechagua kujilipia madhambi yake mwenyewe lazima anakumbuka nafasi zote Mungu alimpa duniani na bado akazidharau na kuzichezea. Milele atakuwa kwenye majuto.

Ndio maana ni muhimu sisi tuliobaki kuhakikisha tuna uhakika wa kupumzika baada ya taabu za dunia hii

“Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.” ‭‭Ufu‬ ‭14:13‬

Wana heri wafao katika Kristo Yesu!
 
Dogo unatoa chozi kizembe wakati sisi wote njia ni hiyo hiyo moja?

Unatakiwa umfurahie kaenda kupumzika. Wakuwatolea chozi ni sisi tulio Hai ambao tunapitia mateso, magonjwa, uonevu, unyanyasaji.
😂😂😂
sawa braza... weka story lako la mateso, magonjwa na uonevu nitoe chozi
 
Dogo unatoa chozi kizembe wakati sisi wote njia ni hiyo hiyo moja?

Unatakiwa umfurahie kaenda kupumzika. Wakuwatolea chozi ni sisi tulio Hai ambao tunapitia mateso, magonjwa, uonevu, unyanyasaji.
Unajuaje Kama kapumzika huko?huko Ni lazima tulie kwa kuwa hatujui tuendako
 
Dogo unatoa chozi kizembe wakati sisi wote njia ni hiyo hiyo moja?

Unatakiwa umfurahie kaenda kupumzika. Wakuwatolea chozi ni sisi tulio Hai ambao tunapitia mateso, magonjwa, uonevu, unyanyasaji.
Kwenye keyboard humu mnajiongeleshaga utadhani mna diamond and unbreakable hearts wakati mkifiwa hata na wajomba mnalia mpaka mikojo....fucken kabisa
 
Kwenye keyboard humu mnajiongeleshaga utadhani mna diamond and unbreakable hearts wakati mkifiwa hata na wajomba mnalia mpaka mikojo....fucken kabisa
Dogo acha jazba.
 
Unajuaje Kama kapumzika huko?huko Ni lazima tulie kwa kuwa hatujui tuendako
Mimi personally uwa nahisi ukifa ndo basi imeisha hiyo. Ushawahi kuzimia au kupigwa sindano ya usingizi ili ufanyiwe operesheni?
Kuna chochote unachokumbuka au kujihisi uko eneo lolote?

Nadhani kifo kitakuwa hivyo japo kuna muda naamini katika incarnation
 
Frankly na Mimi naamini Kama wewe!na huwa sishawishiki Kama Kuna siku nitakuwa ulimwengu mwingine japo Imani yangu yanitaka niamini hivyo....Najiuuliza Kabla sijazaliwa nilikuwa wapi?I hope na siku nikifa nitakuwa sijijui Kama mwanzo.
 
Yes, hata mimi ni kama wewe hivyo kabisa
 
Mimi personally uwa nahisi ukifa ndo basi imeisha hiyo. Ushawahi kuzimia au kupigwa sindano ya usingizi ili ufanyiwe operesheni?
Kuna chochote unachokumbuka au kujihisi uko eneo lolote?
Nadhani kifo kitakuwa hivyo japo kuna muda naamini katika incarnation
Umewahi kuwaza kwa nini unaona moyoni unajua kifo inaweza isiwe mwisho na kwamba kuna possibility ya kutokea reincarnation?
 
Umewahi kuwaza kwa nini unaona moyoni unajua kifo inaweza isiwe mwisho na kwamba kuna possibility ya kutokea reincarnation?
Labda kwasababu nilikuwa programmed kuwaza hivyo kupitia mafundisho.

Incarnation kwangu nawaza hivyo kutokana na story za watu niliosoma kuwa walizaliwa wakawa wanakumbuka mambo ya zamani kama vile waliwahi kuishi mfano yule kijana wa India na yule dada aliedai kuwa alikuwa mke wa Pharaoh na wengine.
 
Frankly na Mimi naamini Kama wewe!na huwa sishawishiki Kama Kuna siku nitakuwa ulimwengu mwingine
Unajua haya mambo sio mepesi kwa sababu yako far beyond our five senses. Pamoja na hivyo ni kosa kuamua kuamini kitu na kusema hushawishiki. Hapa point ya msingi ni kuhakikisha unachokiamini una uhakika ni sahihi.

kwa sababu kama kuna Mbingu na Jehanamu maana yake unabeti na maisha yako ya umilele. Hii ni hatari kuliko kugongwa na treni.

Lakini mwisho wa siku ni maamuzi yako
japo Imani yangu yanitaka niamini hivyo....
imani gani, kama hutajali?

Najiuuliza Kabla sijazaliwa nilikuwa wapi?
Haya maswali majibu yake yanategemea msingi wako. Ni kama moja toa mbili kwa mwenye msingi wa darasa la pili ni haiwezekani. Ila kwa mwenye msingi wa sekondari anajua ni hasi moja.

Kifupi ni kuwa kila jibu lina msingi wake na ili kujua kama ni jibu sahihi lazima uukague msingi wa jibu hilo.
I hope na siku nikifa nitakuwa sijijui Kama mwanzo.
Unfortunately una mwanzo ila hauna mwisho. Utadumu siku zote katika moja ya sehemu mbili. Ile utakayoichagua hapa duniani.
 
Back
Top Bottom