Leo nimemsikia mtu wa ajabu redioni

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Jamaa amefanya mahojiano na Clouds FM, yeye ni Mwenyekiti wa Wanaume wanaopigwa majumbani na wake zao.

Amedai wamepata eneo Tarime wanaenda kufungua ofisi ndogo.
Ndio maana Panya Road wawili wanaweza kufunga mtaa mzima huko Dar ea Salaam
 
Mbona wanaenda kufungua ofisi mpakani mwa nchi baada wangefungua katika ya nchi
 
hiyo ofisi wanayokwenda kuifungua huko kwa kina John Henche ni kwaajili ya nini labda
 
Jamaa amefanya mahojiano na Clouds FM, yeye ni Mwenyekiti wa Wanaume wanaopigwa majumbani na wake zao.

Amedai wamepata eneo Tarime wanaenda kufungua ofisi ndogo.
Ndio maana Panya Road wawili wanaweza kufunga mtaa mzima huko Dar ea Salaam
Sasa wewe bwege Tarime na Dar vinaunganishwaje?

Tuache aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…