Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Ofisi angeifungulia dar ndio atapata members..... Tarime strategically hapamfai kwani kule hamna anayekoroma achilia mbali kumpiga mwanamke....never there.Jamaa amefanya mahojiano na Clouds FM, yeye ni Mwenyekiti wa Wanaume wanaopigwa majumbani na wake zao.
Amedai wamepata eneo Tarime wanaenda kufungua ofisi ndogo.
Ndio maana Panya Road wawili wanaweza kufunga mtaa mzima huko Dar ea Salaam