Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu shukuru alikuwa hakuachi njaaa ATI lkn huyo hafai kabisaaa
 
Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.

Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari.

Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao.

Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia

Nikaona niwafukuze tu

Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
Daaha maskin wee hiyo jeuri ya kufanya hivyo anaitoa wapi yaan mm ningekuwa Men wangenitambua madem kama hao....
 
[emoji1787][emoji1787]Kwahiyo hadi muda huu wako nje siyo?
Alikuja aumlishe na mwanaye
We hujiulizi kwanini aliyemzalisha kmtelekeza na mtoto?
Umejidai tasaf,saidia Kaya maskin[emoji23]
Pole tafuta mwingine umlishe na mwanaye manake yaonekana ndo kipaji chako.
Tukiwaambia hawaelew
 
Nipasie namba zake kama hutojali na kama umemuacha kwerii kweriii!!
 
Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.

Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari.

Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao.

Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia

Nikaona niwafukuze tu

Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
weka namba yake hapa, kuna wadau masingo wanaweza kumuoa. usimfungie milango. weka namba.
 
Back
Top Bottom