Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

[emoji1787][emoji1787]Kwahiyo hadi muda huu wako nje siyo?
Alikuja aumlishe na mwanaye
We hujiulizi kwanini aliyemzalisha kmtelekeza na mtoto?
Umejidai tasaf,saidia Kaya maskin[emoji23]
Pole tafuta mwingine umlishe na mwanaye manake yaonekana ndo kipaji chako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kidogo chai iniunguze eti umejidai tasaf looh..
 
Back
Top Bottom